Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

On of the characteristics of the word "truth" is such that it wont stay dark "forever" therefore one day we will ...... what are his true colors then we will know what kind of a person he is, hopeful isiwe tumepigwa "changa la macho"

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwenye maeneo yenye red kuna kitu kinakosekana au uko sawa, maana hii lugha iliyokuja na meli nayo ni ngumu wakati mwingine.....
 
Ukiwa CCM mtu mwenye akili hana haja ya kuhoji akili yako.
 
Huyu mdada ni hatari sana.


Hapo alipo, kapanda gari ya mwanaume,
kuanzia kichwani mpaka simu aliyorekodia hii video ni pesa za mwanaume, nyumba anayoishi kodi inalipwa na mwanaume, uwezekano ni mkubwa hata chakula cha jion anategemea atolewe out na mwanaume.

Huyu mwanaume sasa hataki hata kusikia jina la hicho chama anachokiimba.
Nyie watu mnatutesa. Mungu anawaona.
 
Kweli huyu ndiye rais niliyemsubiri kwa miaka mingi sana. Sikuhizi yule jamaa yangu aliyekuwa anafanya kazi pale halmashauri ya manispaa ya kinondoni simuoni tena. Yaani yeye alikuwa anatembepea maeneo mawili tu. Kwenye ATM na BAR. Anajifanya eti yuko serikalini ndo maana hafanyi kazi. Na kama wiki hivi sijamwona alafu nikimpigia simu anasema yuko busy. ***** ngoja aje amkute hayuko apigwe chini ntacheka alafu hata hana nyumba.
Magufuli hebu mtembelee na huyu umfinye kidogo ajifunze kuishi kwa kuchubuka kama sisi


Ushauri Wa Bure Tu Mkuu Jaribu Kufurahia Kile Ambacho Mh Rais Anakifanya Kwa Ajili Ya Taifa Letu Ila Usipende Kuwa Na Chuki Na Mwenzio Kisa Kakuzidi Maendeleo..

Ni Watu Wenye Fikra Hafifu Tu Ndio Hupenda Kumuona Mwenzie Akipata Shida Badala Ya Raha.

So Jifunze Kuwa Na Tabia Ya Kupenda Maendeleo Yako Na Ya Mwenzio...
 
CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA. Fanyeni kazi wacheni maneno. Tunataka Noah zetu
 
Hakuna ubishi kutokana na kazi nzuri anayoifanya rais wetu mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu John Pombe Magufuli ya kututumikia Watanzania kwa uadilifu na weledi wa hali ya juu kuelekea Tanzania mpya, kuna kila sababu rais wetu mpendwa apewe cheo cha "sir".

Kusimamia uadilifu serikalini, mapambano ya ufisadi na rushwa, kuimarisha uchumi wa nchi, maboresho ya elimu na afya , ujenzi wa miundombinu ni baadhi ya mafanikio ya rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli.


Kwa sasa Watanzania wengi wanaunga mkono juhudi za rais wetu katika ujenzi wa Taifa imara la Tanzania lenye kutumia rasilimali zake kwa maendeleo ya Taifa.

Hivyo ni wakati sasa Mamlaka ya Malkia wa Uingereza wampe
cheo cha " sir" kwani anasifa zote za kupewa heshima hii.
 
Back
Top Bottom