Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mtake radhi marehemu kwa kumfananisha na bwana yule

Send via Quan dong fen from north Korea
 
Unaikombo nchi kwa kutumia ripoti za maprofesa wale?!

Unaikomboa nchi kwa kuvunjia watu nyumba?

Unaiokomboa nchi kwa kuua ajira?

Unaiķomboa nchi kwa kunyima wanafunzi mikopo kwa vigezo vya ajabu ajabu?

Unaikombo nchi kwa kutelekeza watumishi wa umma?

Unaikomboa nchi kwa kunyang'anya watu ardhi na mashamba kwa visasi na chuki za kisiasa?

Unaikomboa nchi kwa kuua demokrasia na kukamata hovyo wapinzani?

Unaikomboa nchi kwa kutisha vyombo vya habari?

Unakomboa nchi kwa kuwambia wananchi wenye njaa wafe kwa njaa?

Unaikomboa nchi kwa kufanya maamuzi yanayoligharimu Taifa kila wakati?

Mleta mada wahi mirembe!!
 
Angalia libya leo then ndo utajua kama gadaffi alikuwa anafanya kwa uroho wa madaraka au kwa ajili ya walibya hiyo kauli yako ukiitamka leo libya utapigwa mawe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo alikuwa anafanya kwa uroho km huyu anayewatumia watu wamsifie humu kwa kubomoa nyuma za watu.
Ghadafu ni mpu...mbafu mmoja asiyejielewa na asiyeelewa nyakati.
Wala hana hekima na busara ni sawa huyu mlevi unayemtolea thread kila siku kumsifia.
Unafikiri kwann Nyerere na Mandela waliachia madaraka? Wao walikuwa hawapendi kuongoza muda mrefu?
Kuna nyakati ikifika lazima uachie madaraka tu,Ghadafi angeachia madaraka angepungukiwa nn?
Huyo mlevi unayemsifia kila siku anaipa hasara Tanzania. Na sasa hivi kaanza kubomoa nyumba za watu
 
Kosa pekee la Maghufuli ni kuongoza akiwa ndani ya CCM, walewale walioiuza nchi kwa wazungu, kwa bei ya kutupa mrabaha wa 3% kwa miaka 100 [emoji85] [emoji85] . Na ni kwa hali hiyo hata aliyoyakusudia kuyafanya hawezi kuyafanya kwa vile waliyoyavurunda ndiyo waliomwingiza madarakani.

Democracy si adui wa maendeleo, bali ni uoga tu wa watawala kuogopa vivuli vyao kama tunavyoshuhudi hapa Tz. Maendeleo bila democracy tutarudi kule kule alikofika Gaddafi. Kwa sababu uhuru wa mawazo ni muhimu ktk jamii yoyote.

Cairo's
 
Gaddafi alikuwa anawajengea nyumba na kuwalipa pesa za kujikimu wananchi wake.

Magufuli anawabomolea nyumba na kuwatukana wananchi wake.


Ukomee kumfananisha Gaddafi na Dikteta Uchwara.
 
Kabisa maana naye alikufa kwa uroho wa madaraka. Huyo wako naye anajifanya nchi kama yake, kila kitu chake. Anathubutu mpaka kula pesa za maiti (rambi rambi).
Ghadafi siyo shujaa bali ni dikiteta km madikiteta wengine. Unataka kujimilikisha nchi, aliambiwa hiyo Libya ni ya kwake? Katika viongozi huwa siwakubali na Ghadafi yumo. Ni sawa na watu fulani Wanasema Nape ni shujaa wakati ni mpuu...zi fulani tu ktk hii nchi
Kwann mkuu nisikupe like?? Uyu mwehu kabisa anayeweka ugolo wake hadharan na adharauliwei, hakuna maendeleo ya kweli bila demokrasia, analojua yeye ni kujikombakomba tu makalioni mwa wakubwa, MTU kama uyu km si kumpuuza basi alaaniwe milele..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gaddafi alikuwa anawajengea nyumba na kuwalipa pesa za kujikimu wananchi wake.

Magufuli anawabomolea nyumba na kuwatukana wananchi wake.


Ukomee kumfananisha Gaddafi na Dikteta Uchwara.
ili upate maendeleo ya kwel lazima upitie transition period lazima ujenge miondombinu mizuri lazima wachache waumie kwa manufaa ya wengi kwa ajili ya kesho angalia nchi zote zilizoendelea angalia china jinsi ilivyoendelea njoo uangalie germany angalia hata marekani then ndo uongee yanayoendelea Tz
Gaddafi alikuwa anawajengea nyumba na kuwalipa pesa za kujikimu wananchi wake.

Magufuli anawabomolea nyumba na kuwatukana wananchi wake.


Ukomee kumfananisha Gaddafi na Dikteta Uchwara.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ili upate maendeleo ya kwel lazima upitie transition period lazima ujenge miondombinu mizuri lazima wachache waumie kwa manufaa ya wengi kwa ajili ya kesho angalia nchi zote zilizoendelea angalia china jinsi ilivyoendelea njoo uangalie germany angalia hata marekani then ndo uongee yanayoendelea Tz



Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mumeshindwa kufanya hayo kwa miaka zaidi ya 50, sasa mtaweza kwa miaka 5??

Uwe unajipanga ukitaka kuleta upuuzi hapa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tunaelezwa kuwa uchumi wa nchi yetu unakuwa kwa kasi kuliko nci zote Afrika mashariki na kati, naomba niupongeze uongozi uliopo madarakani kwa bidii zote, naomba watanzania wenzangu tumuunge mkono Mh Rais wetu kwani amekuwa na uthubutu mkubwa ambao haujawahi kutokea Tanzania tokea enzi za Mwl. Ameyadhibiti mafisadi na mapiga deal yote. Siku hizi hakuna hewa wala vyeti feki. Kwanini tusimpongeze!?

Ameleta miradi mingi mno, Reli, bomba la mafuta, ndege za kumwaga, Viwanja vya ndege vya Mwl nyerere vinaboreshwa, na Chato inajengwa.

Huduma za afya zinaboreshwa kila mahali. Watu hawalali maofisini wanachapa kazi.

Amedhibiti posho pia wale waliokuwa wanajilipa mishahara mikuu amewadhibiti namshauri mkuu asiongeze mishahara hadi 2025 maana ilikuwa inaishia bar. Majizi ya madini yamepigwa pini.

Hayo ni kwa uchache tu yapo mengi mno.

Heko Magu aka bulldoza
Hauna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
HAKIKA MANENO haya kwa sababu,kama tungeliendelea hivi ingelikuwa nchi ambayo mtu anayefanya kazi halali ni wa kudharaulika,na mpiga dili ndiye wakuheshimiwa.Kila zama na kitabu chake lakini hiki kinasomeka vyema.
 
Nidhamu imerudi kwa kiwango kikubwa hasa kwa watumishi wa umma,hakuna tena hata ule usemi unajua Mimi Ni nani?.....huduma Ni kwa wakati tofauti na kipindi cha nyuma!
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom