Ndiyo alikuwa anafanya kwa uroho km huyu anayewatumia watu wamsifie humu kwa kubomoa nyuma za watu.Angalia libya leo then ndo utajua kama gadaffi alikuwa anafanya kwa uroho wa madaraka au kwa ajili ya walibya hiyo kauli yako ukiitamka leo libya utapigwa mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, unafahamu Gadafi alipata mafanikio hayo baada ya muda gani toka alipochukua nchi kijeshi?
development is not nightmare process acha kujitoa akiliHii miaka miwil kwa nn hamjapiga hatua kabisa? Au mna polio?
Siku nyingine usiandike mipumba yako ya mchele hapa.
Sent from koromije using bashite
maoni mazuri yenye vichembechembe vya jazba na husdawewe ni lofa tanzania ilishajikomboa toka 1964
Kwann mkuu nisikupe like?? Uyu mwehu kabisa anayeweka ugolo wake hadharan na adharauliwei, hakuna maendeleo ya kweli bila demokrasia, analojua yeye ni kujikombakomba tu makalioni mwa wakubwa, MTU kama uyu km si kumpuuza basi alaaniwe milele..Kabisa maana naye alikufa kwa uroho wa madaraka. Huyo wako naye anajifanya nchi kama yake, kila kitu chake. Anathubutu mpaka kula pesa za maiti (rambi rambi).
Ghadafi siyo shujaa bali ni dikiteta km madikiteta wengine. Unataka kujimilikisha nchi, aliambiwa hiyo Libya ni ya kwake? Katika viongozi huwa siwakubali na Ghadafi yumo. Ni sawa na watu fulani Wanasema Nape ni shujaa wakati ni mpuu...zi fulani tu ktk hii nchi
ili upate maendeleo ya kwel lazima upitie transition period lazima ujenge miondombinu mizuri lazima wachache waumie kwa manufaa ya wengi kwa ajili ya kesho angalia nchi zote zilizoendelea angalia china jinsi ilivyoendelea njoo uangalie germany angalia hata marekani then ndo uongee yanayoendelea TzGaddafi alikuwa anawajengea nyumba na kuwalipa pesa za kujikimu wananchi wake.
Magufuli anawabomolea nyumba na kuwatukana wananchi wake.
Ukomee kumfananisha Gaddafi na Dikteta Uchwara.
Gaddafi alikuwa anawajengea nyumba na kuwalipa pesa za kujikimu wananchi wake.
Magufuli anawabomolea nyumba na kuwatukana wananchi wake.
Ukomee kumfananisha Gaddafi na Dikteta Uchwara.
huo ndo ukweli.ukimuona mtanzania anasema nchi haijapata ukombozi najua ni miongoni mwa yale malofa aliyosema rais wetu mstaafu mkapa.maoni mazuri yenye vichembechembe vya jazba na husda
Kama mumeshindwa kufanya hayo kwa miaka zaidi ya 50, sasa mtaweza kwa miaka 5??ili upate maendeleo ya kwel lazima upitie transition period lazima ujenge miondombinu mizuri lazima wachache waumie kwa manufaa ya wengi kwa ajili ya kesho angalia nchi zote zilizoendelea angalia china jinsi ilivyoendelea njoo uangalie germany angalia hata marekani then ndo uongee yanayoendelea Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna akiliTunaelezwa kuwa uchumi wa nchi yetu unakuwa kwa kasi kuliko nci zote Afrika mashariki na kati, naomba niupongeze uongozi uliopo madarakani kwa bidii zote, naomba watanzania wenzangu tumuunge mkono Mh Rais wetu kwani amekuwa na uthubutu mkubwa ambao haujawahi kutokea Tanzania tokea enzi za Mwl. Ameyadhibiti mafisadi na mapiga deal yote. Siku hizi hakuna hewa wala vyeti feki. Kwanini tusimpongeze!?
Ameleta miradi mingi mno, Reli, bomba la mafuta, ndege za kumwaga, Viwanja vya ndege vya Mwl nyerere vinaboreshwa, na Chato inajengwa.
Huduma za afya zinaboreshwa kila mahali. Watu hawalali maofisini wanachapa kazi.
Amedhibiti posho pia wale waliokuwa wanajilipa mishahara mikuu amewadhibiti namshauri mkuu asiongeze mishahara hadi 2025 maana ilikuwa inaishia bar. Majizi ya madini yamepigwa pini.
Hayo ni kwa uchache tu yapo mengi mno.
Heko Magu aka bulldoza
HAKIKA MANENO haya kwa sababu,kama tungeliendelea hivi ingelikuwa nchi ambayo mtu anayefanya kazi halali ni wa kudharaulika,na mpiga dili ndiye wakuheshimiwa.Kila zama na kitabu chake lakini hiki kinasomeka vyema.Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.