Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hata maandiko yanasema Musa alikataliwa na wana wa Misri. Ila Tutafika tu na tutafanikiwa.
Unadhani yeye kafikia viwango vya Mussa? Mussa ni Mteule wa Mungu lakini yeye ni mwanasiasa tu, tena aliipata nafasi hiyo baada ya mizengwe ya kisisa ndani ya chama chake!
 
Ulipewa akili na Mungu ya nini? Unataka ibuniwe kazi ya kufanya?
Ninawasi wasi na akili yako lazima umejazwa na magu ndo mana unajivunia sana! so bure wewe[emoji24] mana wanaomlamba miguu niwengi sana naona nawewe nimiongoni. Yani unakuta kabisa wanajua kua hapa tunaumizwa na huyu mtawala lakini bado wanatetea eti oooooh! Hapo kafanya vizuri bhana! Uku mioyo yao unalalama ndani kwa ndani[emoji3]acheni unafiki bhana! Jitambueni jaman, jikomboeni kifikra! Tanzania inaelekea shimoni sasa kama mtaendelea kuifata shaurienu[emoji24]
 
Yoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.

Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.

Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.

Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Heeeh! We ndio umejua leo? Una kichwa kizito!
 
Anafanya mambo mazuri ila yafuate taratibu, ili tuwe na viwanda tuanze na elimu kwanza tuiboreshe. Siasa isiingie kwenye taaluma
 
Yoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.

Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.

Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.

Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
ID AMIN ALIPOINGIA UGANDA KAMA RAIS ALISHANGILIWA NA KILA MTU KWA HAKI NA KWA WOGA. ALIMUA BENEDICT KIWANUKA AG NA ASKOFU MKUU MMOJA. ALIWACHUKIA WAHINDI AU WAASIA WAFANYABIASHARA.ALIWATWANGA RISASI WAPINZANI WAKE NA WOTE ALIOHISI WANAMPINGA. WAGANDA HAWAKUJUA KUWA WAMEINGIA KWENYE DICTATORIASHIP REGIME. HISTORIA HUWA INAJIRUDIA.NASIKITIKA KUWA UNASHINDWA KUTUMIA ZAWADI YA AKILI KUANGALIA MAMBO KWA JICHO PEKENYEVU.YOU MUST LEARN HOW TO JUDGE ISSUES IN VERY LOGICAL MANNER.Vipi kuhusu maknikia,mahakama ya mafisadi,million 50 kila kijiji. HIVI MADIWANI MNAVYONUNUA MNALIPA VAT??? Biashara ya MADIWANI INATAKIWA UWE NA MTAJI KIASI GANI?? WAZEE WA RAMBIRAMBI WIKI IJAYO TETEMEKO LITATOKEA KAENI MKAO WA KULA RAMBIRAMBI!
 
Mimi nasubiri amshughulikie aliyeweza kuchukua almas ya mil 200 USD,
Kwa mujibu wa kamat ya Zungu
 
Yoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.

Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.

Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.

Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Ashaanza kumeza dawa zake ?
 
tuanze na wewe lete choo yako hiyo tuipime😕😉
 
Kazi hutaki kufanya unategemea nini...
Ile tu kuona wanaarusha na kwingineko wananyang'anywa madiwani kwa njia ya hila/rushwa huku akijua uchaguzi wa marudio wa kata hizo utagharimu mamilioni ya walipa kodi kumempunguzia sana credit Rais wetu. Katika hili alipaswa kukemea vikali hii tabia wa wanaccm waliochini yake ya kufanya uhalifu huo.
Lakini bado anaweza kurudisha imani ya watanzania kwa kuwaadhibu vikali waliohusika na kadhia hii ya rushwa ya waziwazi ndani ya chama.
 
Ninawasi wasi na akili yako lazima umejazwa na magu ndo mana unajivunia sana! so bure wewe[emoji24] mana wanaomlamba miguu niwengi sana naona nawewe nimiongoni. Yani unakuta kabisa wanajua kua hapa tunaumizwa na huyu mtawala lakini bado wanatetea eti oooooh! Hapo kafanya vizuri bhana! Uku mioyo yao unalalama ndani kwa ndani[emoji3]acheni unafiki bhana! Jitambueni jaman, jikomboeni kifikra! Tanzania inaelekea shimoni sasa kama mtaendelea kuifata shaurienu[emoji24]
Wewe unayejitambua umefanya nini?
 
Back
Top Bottom