Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Kilo zikivuka 1000 tunaanza kuzungumzia TANIKilo ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilo zikivuka 1000 tunaanza kuzungumzia TANIKilo ngapi
Unataka kujenga choo cha njetuanze na wewe lete choo yako hiyo tuipime😕😉
Ni kwa vitendoMalengo ya mdomoni ama sio kipimo kwetu
Mkuda huyu mleta uziUnataka kusema maraisi waliopita walikua hawana malengo na Tanzania?
Hehehe bora wale wamenunuliwa kwa pesa kubwa.itakuwa umenunuliwa kama madiwani wa Arusha, hai na iringa.
unasifia failure ....stupid
vipi mumeo anahali nzuri etieee?HAPA KAZI TUUU MAGUFULI OYEEEEEEE WAPIGA DILI HALI MBAYA
Kazi ipi umefanya kama siyo kuwa mpumbavu wa kutumwa kuleta ujinga wako humuKazi hutaki kufanya unategemea nini...
zaidi ya miaKilo ngapi
mkuu kwa faida ya wengi je unafikiri kwanni mzee wa ufipa asingeweza tuanzie hapo kwanzaMkuu tokea aliposhika uongozi huyu Mzee nilimdis sana huyu Mzee ila sasa nimeanza kumuelewa kwa aliyoyafanya ni makubwa na sidhani kama yule Mzee tuliyenae ufipa angeweza hii kasi ya maendeleo,na najuta kumpa kura yangu.
Na wewe ku comment ujinga ktk mada humuKazi ipi umefanya kama siyo kuwa mpumbavu wa kutumwa kuleta ujinga wako humu
Na mimi naungana na wewe kwa haya mkuu!Mkuu tokea aliposhika uongozi huyu Mzee nilimdis sana huyu Mzee ila sasa nimeanza kumuelewa kwa aliyoyafanya ni makubwa na sidhani kama yule Mzee tuliyenae ufipa angeweza hii kasi ya maendeleo,na najuta kumpa kura yangu.
Kwa sababu mada yako ni ya kijinga!Na wewe ku comment ujinga ktk mada humu
Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa.
Tena Mussa hakuwa kwa ajili ya wamisriUnadhani yeye kafikia viwango vya Mussa? Mussa ni Mteule wa Mungu lakini yeye ni mwanasiasa tu, tena aliipata nafasi hiyo baada ya mizengwe ya kisisa ndani ya chama chake!
Ulitaka ahitishe Bunge kupitisha kujenga ukuta. Subiri ukiingia madarakani utafanya hivyo.Uongo mtupu!
1. Kumwacha Bashite ofisini licha ya tuhuma za fake identity!
2. Wala rushwa gani hao wakati mahakama ya mafisadi inakula vumbi kwa kukosa wateja? Halafu toka lini mla rushwa na fisadi akapambana na rushwa na ufisadi? Kwanza, ajifikishe mwenyewe Mahakamani kwa makosa ya rushwa na ufisadi.
3. Pesa ya umma anatumia bila kuidhinishwa na Bunge! Alihonga Mahakama fedha ambazo hazikuwa budgeted for. Amenunua ndege na kujenga uwanja wa Chato bila idhini ya Bunge. Kaagiza ujenzi wa ukuta Mererani bila idhini ya Bunge.