PatriceLumumba
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 426
- 581
Tumechoka dharau kutoka kwa vijinchi vidogovidigo mh. Raisi turudishe kwenye chati ya Afrika turudishe heshima we are big nation.
Ndio,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumechoka dharau kutoka kwa vijinchi vidogovidigo mh. Raisi turudishe kwenye chati ya Afrika turudishe heshima we are big nation.
Bruh jibu swali langu. Two wrongs never make it right. Nitajie sheria ama kifungu cha Katiba kinachompa Rais wa JMT mamlaka ya kuidhinisha matumizi ya fedha, bila ya Bunge kufanya hivyo. Vilevile, je kwanini Bunge uwa na Bunge la Bajeti?Mbona hayo mambo ya kuidhinisha pesa ni kitambo sana yeye sidhani kama ni wa kwanza.
vipi na ww mumeo ana hali mbaya ehevipi mumeo anahali nzuri etieee?
Bruh jibu swali langu. Two wrongs never make it right. Nitajie sheria ama kifungu cha Katiba kinachompa Rais wa JMT mamlaka ya kuidhinisha matumizi ya fedha, bila ya Bunge kufanya hivyo. Vilevile, je kwanini Bunge uwa na Bunge la Bajeti?
Ebu nijibu nilichokuuliza kwanza, kisha tutajadili ulilolisema hapo juu. Usihamishe goli tafadhali.Na huu uamuzi wa kutoa ruziku ya elimu kila mwezi unaisemeaje,Vipi zile pesa alizookoa kila mwezi wa watumishi hewa.
Nitajia maamuzi ya matumizi ya fedha aliyoyafanya ambayo unadhani hayana tija kwa taifa.
Naomba unieleweshe nikikuelewa nitakubaliana na wewe.
Lumumba
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Uwezo wa kufikiri upo chini sana.Ndugu wa Tanzania hasa wana jamii Forum pasipo kujali itikadi ya vyama vyetu ningeomba tujadili kwa kina utendaji wa mkuu. Mim naona uwenda huyu Rais ana akili zaidi ya watangulizi wake kutokana na jinsi kazi zake zina toa majbu yakile amekikusudia.
Kwanza strategic zake zakukusanya mapato ni za aina yake na uwenda toka kuwepo kwa ma rais huyu bwana mkubwa anatak matumizi ya teachnology ktk kukusanya mapato yanakuwa makubwa nakuwanyima kula majizi serikali.
Pili mipango ya serikali yake ktk kujibu matatizo ya watanzania ni zatofauti na uwenda kwa muda mfupi uchumi unakimbilia 7% like never before.
My footMpaka sasa, takwimu zinaonesha Magu ndio Msukuma mwenye IQ kubwa kuliko wasukuma wote, akifuatiwa na Makonda 🙄