Kwanza nakupongeza Rais Wangu kwa hatua unazochukua na unazoendelea kuzichukua kwa manufaaa ya Taifa letu.
Pili nikupongeze kwa aina ya Style yako ya uongozi ,,Taifa lilipokua limefika hatuna Budi kukubali style ya uongozi wako *PERSONALIZED STYLE OF RULE * aina hii ya uongozi kwasasa ndio Taifa tulikua tunaiihitaji kwasababu Out of you * HAKUNA MZALENDO * .out of you *HAKUNA KIONGOZI AMBAYE ANGEKUJA TAWALA KWAMSINGI WA KULINDA NA KUTETEA RASILIMALI ZA NCHI YETU*.
NI LAI yangu ,,utaendelea kuhakikisha hakuna mtu atakayejaribu "Kuzuka" na KUA Tishio LA utawala wako ,Iwe nje ya CCM au ndani ya CCM ,, kikubwa endelea kuwaminya tuu kwasababu wewe sio wakwanza kuminya !!! Putin anawaminya ,, Bwana Xi ndo kabisa tena yeye anaminya wachama chake na tutategemea hawa Marais wote wawili waendelee kutawala kwa miongo kadhaa !!.
LENGO LA UZI HUUU!!!.
Mh.Rais , Nikweli usopingika kua ,, Kabla hujaingia madarakan , wanaCCM na Viongozi wengi walokuwepo Wengi wao Walikua wezi na Hii ikawafanya Wengi WAFICHE MABILION YA PESA KTK ACCOUNT ZA NJE YA NCHI HUSUSANI ULAYA NA MAREKAN!!.
Sasa Basi kutokana na kinachoendelea Nchini kwetu nabaadhi ya wanasiasa kuomba utawala wako uwekewe VIKWAZO ,, niukweli kwamba Watu wengi waloficha pesa nje ya nchi , Pesa izi zitazuiliwa wasiwe na Access Nazo .Sasa hili "KUNDI SUGU LA WATU" nikundi ambalo halipo tayari kuona Mabilioni ya pesa zao yakizuiliwa sababu tu ya mtu mmoja.Hili nikundi ambalo Wapo tayari kufanya wawezalo kuhakikisha Utawala wako unashuka .Hili nikundi LA walokua *Makada sugu* Wa chama na *Viongozi* na *Wafanyakazi Wa Vitengo Mbalimbali*..
Wengine wamediriki.kusafiri nakwenda kimya kimya walikotunzia mipesa yao na kufanya mazungumzo yakuweka mambo sawa, lkn ukiangalia yoyote majibu yake yanafanana *.
Hali hiii kadiri siku zinavyoenda itakuja kuhatarisha Udumu Wa utawala wako sababu utajikuta unategemea Maamuzi ya Wamagaribi ambako ndiko hawa watu wametunza pesa!!.
Sasa Basi km ulivowah sema Ukikamatwa na dawa zakulevya Unyongwe tuuu ,,Basi hata hawa Watu wachache Usikubali Ufisadi wao uweze kuamua hatima ya Utawala wao.........
NISEME ,, HAKIKISHA CHAMA CHAKO KINABAKI NA WAJUMBE AMBAO WAPO * ROYAL* SANA KWAKO ,,HAKIKISHA UNABAKI NA WAJUMBE AMBAO WANAAMINI ** WEWE NDIO KIONGOZI WAO ** lkn km utakubali kuwabakisha nahawa Wa mguu MOJA ndani mwingine nje utakua na kazi ngumu ktk kutekeleza adhima zako .
Mwisho ,, Niumakini wahali yajuu unaohitajika nakujua namna ya kuishi nahawa watu wachache walokua mafisadi..
ALL IN ALL ,, NAKUBALIANA NA KILA HATUA UNAYOIFANYA ,,NAKUBALIANA NA UTENDAJI WAKO ,, HAMNA KURUDI NYUMA ,,, TUMEAMUA KUSONGA NATUSONGE MBELE ,,YOYOTE ANAYETAKA KUTUKWAMISHA JUA TU ** WEWE NDIE RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA ULINZI NA VYOMBO VYOTE VYA USALAMA.