Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ndugu wa Tanzania hasa wana jamii Forum pasipo kujali itikadi ya vyama vyetu ningeomba tujadili kwa kina utendaji wa mkuu. Mim naona uwenda huyu Rais ana akili zaidi ya watangulizi wake kutokana na jinsi kazi zake zina toa majbu yakile amekikusudia.

Kwanza strategic zake zakukusanya mapato ni za aina yake na uwenda toka kuwepo kwa ma rais huyu bwana mkubwa anatak matumizi ya teachnology ktk kukusanya mapato yanakuwa makubwa nakuwanyima kula majizi serikali.

Pili mipango ya serikali yake ktk kujibu matatizo ya watanzania ni zatofauti na uwenda kwa muda mfupi uchumi unakimbilia 7% like never before.

Naogopa Premio Nyeupe.
 
wpid-quote-charles-de-gaulle-i-respect-only-those.jpg
 
Wasaalam wadau!!

Kwanza napenda niweke wazi yakwamba siwabezi marais waliopita kwasababu kila mmoja amefanya mazuri na mabaya take katika lupins chake ila Watanzania na kizazi kijacho kinamsubiri rais atayewapa watanzania zawadi kuu na kubwa ambayo ni katiba mpya.

KUkweli ni kwamba katiba ndio inayoamua maendeleo ya nchi na sio rais mkali.
Kwasababu zifuatazo:-
1.Katiba itaonyesha dira ya Taifa,kwahiyo itatuepusha kila Rais Luna na mambo yake,hivyo Kama dira ni viwanda kwa Miaka 100 itonyeshwa kwenye katiba.
2.Mifumo na mihimili ndio inatakiwa iwe huru na mikali na sio Rais.Mifumo ikipewa nguvu kikatiba itaweza kumuwajibisha mtu yeyote atakaye chezea raslimali ya nchi.
3.Katiba itatuwekea mfumo mzuri wa demokrasia ambeye ndio chimbuko la Amani na sio nguvu ya dola.

Napendezwa Sana najuhudi za Rais wetu Magufuli ni kweli ni Rais mzalendo na mwenye nia njema sana na nchi hii lakini ili nia yake isishie njia tunaomba atupe zawadi ya katiba mpya inayotokana na maoni ya wanananchi.
Hakika siku unatupa katiba inayotokana na maoni wananchi hili Taifa utakuwa umeipatia zawadi kubwa sana.
Baadhi ya watu wanabedha juhudi na nia yako njema katika taifa hili either kwa makusudi au kwakutokuona Latino siku ikiamishia hiyo nia yako njema kwenye Katiba ninauwakika watakuelewa sana.
Katiba haileti amani wala maendeleo bali ni uelewa na uzalendo wa viongozi na waongizwa.

Kenya wana katiba mpya lakini ufisadi ndiyo mwake.

Kenya wana katiba mpya lakini kama unafuatilia uchaguzi nadhani utajifunza mengi.

Wazungu unawaona walivyo si kwa sababu ya katiba. Ni watu wamepata uhuru miaka mingi wakayaona ya kuyaona na pengine wamepitia mapito tupitayo mpaka wakastaarabika.

Bush alishutumiwa kuiba kura lakini hukuona wanaandamana na hata mwaka jana tulisikia Trump kaiba kura lakini hatujaona wanaandamana wala kuleta vurugu.

Sisi tunataka siasa muda wote bila kufanya kazi.

Hao hao wanaofadhiri watu walete vurugu na kuchelewesha maendeleo wao hawafanyi mikutano ya siasa mpaka miaka ya uchaguzi. Tujisahihisheni tutabaki nyuma milele.

Hizi chuki zoote kwa Rais wetu ni kampeni za hao hao wazungu wenu. Wanawahamasisha mharibu amani kwa kigezo cha demokrasia ambayo hata wao hawawezi kuiptractice. Na lengo kubwa ni kuwachelewesha kwwnye maendeleo.
Nawaombea sana siku moja mtaacha. Magufuli hatatokea kirahisi tena Nchi hii. Mpeni full support ili tufanikiwe kwanza. Tunahitaji generation kurekebisha hii nchi. Nyie kama nyie hamtaweza. Mshikaji akae ili watoto waliozaliwa miaka ya 2010 wakuwe na kumaliza vyuo akiwa madarakani. Hapo tutakuwa na watu wanaohitaji katiba mpya but si ninyi.
 
Kwanza nakupongeza Rais Wangu kwa hatua unazochukua na unazoendelea kuzichukua kwa manufaaa ya Taifa letu.
Pili nikupongeze kwa aina ya Style yako ya uongozi ,,Taifa lilipokua limefika hatuna Budi kukubali style ya uongozi wako *PERSONALIZED STYLE OF RULE * aina hii ya uongozi kwasasa ndio Taifa tulikua tunaiihitaji kwasababu Out of you * HAKUNA MZALENDO * .out of you *HAKUNA KIONGOZI AMBAYE ANGEKUJA TAWALA KWAMSINGI WA KULINDA NA KUTETEA RASILIMALI ZA NCHI YETU*.

NI LAI yangu ,,utaendelea kuhakikisha hakuna mtu atakayejaribu "Kuzuka" na KUA Tishio LA utawala wako ,Iwe nje ya CCM au ndani ya CCM ,, kikubwa endelea kuwaminya tuu kwasababu wewe sio wakwanza kuminya !!! Putin anawaminya ,, Bwana Xi ndo kabisa tena yeye anaminya wachama chake na tutategemea hawa Marais wote wawili waendelee kutawala kwa miongo kadhaa !!.

LENGO LA UZI HUUU!!!.
Mh.Rais , Nikweli usopingika kua ,, Kabla hujaingia madarakan , wanaCCM na Viongozi wengi walokuwepo Wengi wao Walikua wezi na Hii ikawafanya Wengi WAFICHE MABILION YA PESA KTK ACCOUNT ZA NJE YA NCHI HUSUSANI ULAYA NA MAREKAN!!.

Sasa Basi kutokana na kinachoendelea Nchini kwetu nabaadhi ya wanasiasa kuomba utawala wako uwekewe VIKWAZO ,, niukweli kwamba Watu wengi waloficha pesa nje ya nchi , Pesa izi zitazuiliwa wasiwe na Access Nazo .Sasa hili "KUNDI SUGU LA WATU" nikundi ambalo halipo tayari kuona Mabilioni ya pesa zao yakizuiliwa sababu tu ya mtu mmoja.Hili nikundi ambalo Wapo tayari kufanya wawezalo kuhakikisha Utawala wako unashuka .Hili nikundi LA walokua *Makada sugu* Wa chama na *Viongozi* na *Wafanyakazi Wa Vitengo Mbalimbali*..
Wengine wamediriki.kusafiri nakwenda kimya kimya walikotunzia mipesa yao na kufanya mazungumzo yakuweka mambo sawa, lkn ukiangalia yoyote majibu yake yanafanana *.

Hali hiii kadiri siku zinavyoenda itakuja kuhatarisha Udumu Wa utawala wako sababu utajikuta unategemea Maamuzi ya Wamagaribi ambako ndiko hawa watu wametunza pesa!!.

Sasa Basi km ulivowah sema Ukikamatwa na dawa zakulevya Unyongwe tuuu ,,Basi hata hawa Watu wachache Usikubali Ufisadi wao uweze kuamua hatima ya Utawala wao.........
NISEME ,, HAKIKISHA CHAMA CHAKO KINABAKI NA WAJUMBE AMBAO WAPO * ROYAL* SANA KWAKO ,,HAKIKISHA UNABAKI NA WAJUMBE AMBAO WANAAMINI ** WEWE NDIO KIONGOZI WAO ** lkn km utakubali kuwabakisha nahawa Wa mguu MOJA ndani mwingine nje utakua na kazi ngumu ktk kutekeleza adhima zako .

Mwisho ,, Niumakini wahali yajuu unaohitajika nakujua namna ya kuishi nahawa watu wachache walokua mafisadi..

ALL IN ALL ,, NAKUBALIANA NA KILA HATUA UNAYOIFANYA ,,NAKUBALIANA NA UTENDAJI WAKO ,, HAMNA KURUDI NYUMA ,,, TUMEAMUA KUSONGA NATUSONGE MBELE ,,YOYOTE ANAYETAKA KUTUKWAMISHA JUA TU ** WEWE NDIE RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA ULINZI NA VYOMBO VYOTE VYA USALAMA.
 
Three groups spend other people's money: children, thieves, politicians. All three need supervision. - Dick Armey
 
ugewataja hata kwa majina
mie nakuongezea
awe na anatoa kauli ambazo ni tata
na KUBWA kupita yote afuate KATIBA na SHERIA za JMT
 
I couldnt finish this profforesoriallrubbiSHH...
 
Kwanza nakupongeza Rais Wangu kwa hatua unazochukua na unazoendelea kuzichukua kwa manufaaa ya Taifa letu.
Pili nikupongeze kwa aina ya Style yako ya uongozi ,,Taifa lilipokua limefika hatuna Budi kukubali style ya uongozi wako *PERSONALIZED STYLE OF RULE * aina hii ya uongozi kwasasa ndio Taifa tulikua tunaiihitaji kwasababu Out of you * HAKUNA MZALENDO * .out of you *HAKUNA KIONGOZI AMBAYE ANGEKUJA TAWALA KWAMSINGI WA KULINDA NA KUTETEA RASILIMALI ZA NCHI YETU*.

NI LAI yangu ,,utaendelea kuhakikisha hakuna mtu atakayejaribu "Kuzuka" na KUA Tishio LA utawala wako ,Iwe nje ya CCM au ndani ya CCM ,, kikubwa endelea kuwaminya tuu kwasababu wewe sio wakwanza kuminya !!! Putin anawaminya ,, Bwana Xi ndo kabisa tena yeye anaminya wachama chake na tutategemea hawa Marais wote wawili waendelee kutawala kwa miongo kadhaa !!.

LENGO LA UZI HUUU!!!.
Mh.Rais , Nikweli usopingika kua ,, Kabla hujaingia madarakan , wanaCCM na Viongozi wengi walokuwepo Wengi wao Walikua wezi na Hii ikawafanya Wengi WAFICHE MABILION YA PESA KTK ACCOUNT ZA NJE YA NCHI HUSUSANI ULAYA NA MAREKAN!!.

Sasa Basi kutokana na kinachoendelea Nchini kwetu nabaadhi ya wanasiasa kuomba utawala wako uwekewe VIKWAZO ,, niukweli kwamba Watu wengi waloficha pesa nje ya nchi , Pesa izi zitazuiliwa wasiwe na Access Nazo .Sasa hili "KUNDI SUGU LA WATU" nikundi ambalo halipo tayari kuona Mabilioni ya pesa zao yakizuiliwa sababu tu ya mtu mmoja.Hili nikundi ambalo Wapo tayari kufanya wawezalo kuhakikisha Utawala wako unashuka .Hili nikundi LA walokua *Makada sugu* Wa chama na *Viongozi* na *Wafanyakazi Wa Vitengo Mbalimbali*..
Wengine wamediriki.kusafiri nakwenda kimya kimya walikotunzia mipesa yao na kufanya mazungumzo yakuweka mambo sawa, lkn ukiangalia yoyote majibu yake yanafanana *.

Hali hiii kadiri siku zinavyoenda itakuja kuhatarisha Udumu Wa utawala wako sababu utajikuta unategemea Maamuzi ya Wamagaribi ambako ndiko hawa watu wametunza pesa!!.

Sasa Basi km ulivowah sema Ukikamatwa na dawa zakulevya Unyongwe tuuu ,,Basi hata hawa Watu wachache Usikubali Ufisadi wao uweze kuamua hatima ya Utawala wao.........
NISEME ,, HAKIKISHA CHAMA CHAKO KINABAKI NA WAJUMBE AMBAO WAPO * ROYAL* SANA KWAKO ,,HAKIKISHA UNABAKI NA WAJUMBE AMBAO WANAAMINI ** WEWE NDIO KIONGOZI WAO ** lkn km utakubali kuwabakisha nahawa Wa mguu MOJA ndani mwingine nje utakua na kazi ngumu ktk kutekeleza adhima zako .

Mwisho ,, Niumakini wahali yajuu unaohitajika nakujua namna ya kuishi nahawa watu wachache walokua mafisadi..

ALL IN ALL ,, NAKUBALIANA NA KILA HATUA UNAYOIFANYA ,,NAKUBALIANA NA UTENDAJI WAKO ,, HAMNA KURUDI NYUMA ,,, TUMEAMUA KUSONGA NATUSONGE MBELE ,,YOYOTE ANAYETAKA KUTUKWAMISHA JUA TU ** WEWE NDIE RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA ULINZI NA VYOMBO VYOTE VYA USALAMA.
lai au rai mhh, usomi wetu unaangamia
 
Fanya kazi wacha maneno.Kwani hata ukimchukia uajidhalilisha tu mwenyewe.Hata Nyerere watu walimchukia leo kwa unafiki wanasema alikuwa anafuata katiba.
 
Mhesh. Raisi JPM hongera sana kwa ujasiri na uzalendo usioelezeka kwa maneno ya kawaida. Matunda ya falsafa yako sasa yameanza kuiva na kuonekana. Watumishi wa mafisadi na waporaji wa rasilimali zetu walikupinga na kuwalisha wananchi UWONGO. Leo dunia inashuhudia mafanikio makubwa ya uzalendo wako wa KWELI. MUNGU akubariki sana MAGUFULI.MUNGU ibariki nchi yetu.

Magufuli Raisi wetu, mioyo yetu yote iko ndani yako. Tafadhari sana usirudi nyuma hata kwa sekunde moja. Angalia mbele,songambele.

Usiyumbishwe na kelele za mafisadi na wadau wao. Bali muda wote angalia masilahi ya nchi. Sasa mwanga umeanza kuonekana BWANA/TANZANIA anazaliwa UPYA.

Magufuli ubarikiwe usiku na mchana. Magufuli kweli ni MTUMISHI wa Mungu aliyeletwa TZ kuja kutukomboa. Ukombozi umefika TZ.

Magufuli ni hazina na lulu ya Tanzania. Amina.
 
Back
Top Bottom