Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Watanzania tusiwe mabwege kushangilia kitu tusichokijua, nani ameona hayo makubaliano. Je hayo makubaliano yanafuta sheria na mikataba ya awali? Sikinde waliimba "usisikie la kumbiwa mpaka uone mwenyewe"
Watanzania tusiwe vipofu wa ku appreciate yake yaliyo dhahiri.
Magufuli hapa kacheza kama pele.
Hebu tupe mbadala wa kilichokuwa kinaendelea.

Tusiwe wachoyo wa fadhila kwa minajili ya kisiasa.
 
Penye nia ya dhati hapakosi njia.huu ni ushindi wa watanzania wote hata wale waliokuwa wanamkejeri mheshimiwa rais.
 
Kutoka bajeti ya miaka kumi adi mishahara ya watumishi wa umma wa mwaka mmoja; barafu wa jamiiforum alituonya.

Kweli Barrick wametuweza; hayo mengine mengi yapo ata huko nyuma sema utekelezaji ndo ulikua tatizo
 
Utaungwa na Hawa Watu wenye nia kama ya alshabab kule Somalia. Wanapenda tushindwe. So subiri wachaanza kudakia mkato badala ya kufika kwenye nukta. Wanadhani the end is JPM. Sisi ndo wanufaika hata kama Hela itamtibu mgonjwa wetu haina shida
 
Hakika na bila ubishi Mheshimiwa Rais Magufuli ameingia kwenye rekodi za dunia katika vita kubwa ya kiuchumi kwa maslahi ya Tanzania na bara la Afrika.sasa ni wakati wa waafrika kuamka na kuiga mbinu hizi za kimapambano.
 
Kutoka bajeti ya miaka kumi adi mishahara ya watumishi wa umma wa mwaka mmoja; barafu wa jamiiforum alituonya.

Kweli Barrick wametuweza; hayo mengine mengi yapo ata huko nyuma sema utekelezaji ndo ulikua tatizo
Ukweli mmeshikwa vizuri sana maana mliaminishwa na nabii wenu kuwa tungeishia MIGA sasa miga imepotea mnatafuta pakutokea.
 
Watanzania wengi ni rahisi kuridhika na ujinga na wagumu kuchoka shere.
 
Hakika na bila ubishi Mheshimiwa Rais Magufuli ameingia kwenye rekodi za dunia katika vita kubwa ya kiuchumi kwa maslahi ya Tanzania na bara la Afrika.sasa ni wakati wa waafrika kuamka na kuiga mbinu hizi za kimapambano.
It's only because you are paid for this so I won't give you a load of blames
 
Lawama tokea vizazi vijavyo zimepunguzwa kwa asilimia kubwa sana kutokana na namna awamu hii ilivyokuza ufahamu wa haki zetu za asili kwa Baraka ya rasilimali tulizopewa.

Matokeo ya hatua zilizochukuliwa na Serikali zimechora mistari Leo na kesho.

Kila atayekuja atakuja akiwa na angalizo, na atakuja kwa nidhamu na kwa kujali haki zetu za asili.

Tumeitendea Vyema haki yet ya asili.
 
Back
Top Bottom