Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa...Habari wanajamvii,Viongozi wa serikali nawashauri waige mfano mzuri wa mh rais dr jpm katika kuchangia maendeleo.Tumeshuhudia leo akichangia sh mil 3 katika kuchangia maendeleo ya ujenzi wa shule igogo mwanza
kwa upuuzi waoChadema na CUF wamekosa m1
hizi ndio habari ukisoma unajiuliza alieandika ana kichwa au bichwa ...Hakika nchi yetu itafika mbali sana, ndo maana Raisi Magufuli aongoze nchi yetu mpaka 2045, tufanye chaguzi nyingine kama Ubunge, Usiwani au Kata lkn Uraisi tuahirishe mpaka 2045, ...
Unajiuliza kama anatumia kufikiria kama binadam wengne, hawa ndo think tanks wetu ñyuma ya fake IDhizi ndio habari ukisoma unajiuliza alieandika ana kichwa au bichwa ...