masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Watanzania tusiwe vipofu wa ku appreciate yake yaliyo dhahiri.Watanzania tusiwe mabwege kushangilia kitu tusichokijua, nani ameona hayo makubaliano. Je hayo makubaliano yanafuta sheria na mikataba ya awali? Sikinde waliimba "usisikie la kumbiwa mpaka uone mwenyewe"
Magufuli hapa kacheza kama pele.
Hebu tupe mbadala wa kilichokuwa kinaendelea.
Tusiwe wachoyo wa fadhila kwa minajili ya kisiasa.