Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

ukisikia maandazi ni wewe tumaini tena siyo maandazi tu ni kitafunwa kabsaaa
 
We ng'ombe unajua kuwa kukimbiza maana yake KUHARISHA
 
Endeleeni kuimba na kusifu. Vitu vingine havijifichi,taratibu tu tutafika
 
Habari wanajamvii,Viongozi wa serikali nawashauri waige mfano mzuri wa mh rais dr jpm katika kuchangia maendeleo.Tumeshuhudia leo akichangia sh mil 3 katika kuchangia maendeleo ya ujenzi wa shule igogo mwanza
 
Habari wanajamvii,Viongozi wa serikali nawashauri waige mfano mzuri wa mh rais dr jpm katika kuchangia maendeleo.Tumeshuhudia leo akichangia sh mil 3 katika kuchangia maendeleo ya ujenzi wa shule igogo mwanza
sawa...
 
Hakika nchi yetu itafika mbali sana, ndo maana Raisi Magufuli aongoze nchi yetu mpaka 2045, tufanye chaguzi nyingine kama Ubunge, Usiwani au Kata lkn Uraisi tuahirishe mpaka 2045, ...
 
mmmh Sidhani Kama inawezekana, lakini ikiwezekana tutafika mbali sana, ndani ya miaka kumi tu.
 
Hakika nchi yetu itafika mbali sana, ndo maana Raisi Magufuli aongoze nchi yetu mpaka 2045, tufanye chaguzi nyingine kama Ubunge, Usiwani au Kata lkn Uraisi tuahirishe mpaka 2045, ...
hizi ndio habari ukisoma unajiuliza alieandika ana kichwa au bichwa ...
 
Wanabodi,

Ni miaka miwili sasa, Mh. Rais anapambana katika kuimarisha mapungufu yaliyokuwepo katika vipindi vilivyopita. NINAONA HAJA YA KUMPONGEZA, hasa kwa kuzingatia JAMII FORUMS ni moja kati ya forum makini ambazo zinaaminika sasahivi duniani. Tumpongeze kwa mazuri aliyoyafanya na kama kuna mabaya, basi tutupie ushauri mzuri, naamini watatusikia. Nimewaza sana nikaona kauli yake hata kwa wanahabari Kagera imenitia moyo sana. ANATUPENDA, NA UKIMUANGALIA USONI, UNAONA KABISA ANAYASEMA KUTOKA ROHONI.

Ni vizuri, pamoja na kwamba kuna baadhi ya mambo yanatakiwa kuboreshwa zaidi na kurekebishwa, ni vizuri KUSHURUKU, KUPONGEZA na kuendelea KUSHIKAMANA katika kuitoa Tanzania hapa ilipo kwenda mbele zaidi. Leo ni miaka miwili ya uongozi wake, ukiweka kwa asilimia za kiutendaji, basi amepata zaidi ya hamsini. Hii ni ishara nzuri. Kikubwa zaidi kinachoonekana kwa haraka ni yale makubwa yanayowagusa Watanzania wote. Laini, maanin i baada ya miaka minne hivi jitihada zake zitaeleweka vizuri kabisa na wote tutaungana kwa pamoja.

Kama Upinzani wa Tanzania ungemuunga mkono kwa 100%, siamini kama leo nchi hii ingekuwa na sura ya kutokuelewana kama inavyotaka kuonekana huko katika majukwaa. Kauli mbalimbali zinazokinzana zisingekuwepo. UMOJA na MSHIKAMANO ungekuwa mkubwa zaidi. Sisi kama Watanzania, tujitafakari, hasa wenzetu ambao ni viongozi wa kisiasa maana ndio wanauwezo mkubwa wa kuwashawishi wafuasi wao kuyatii maagizo yao na kutuunganisha Watanzania.

NAMPONGEZA MH. RAIS, HAJASAFIRI KWENDA NJE YA BARA LA AFRIKA KWA MIAKA MIWILI SASA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…