Hapana mkuu..naelezea ukweliUko kwenye kampeni ,au ????
Unatumika kupita kiasi, hata toilet paper haitumiwi kusafisha makalio kisha kupengea makamasi. Wewe ndivyo unavyotumika jambo ambalo sio tuu ni aibu bali ni uchafu pia. Come back to your sense mr VuvuzelaMwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli anaenda kuwa mwenyekiti bora wa CCM wa nyakati zote baada ya kurejea kwenye misingi ya Chama cha mapunduzi.
wako wanaojidanganya kwa fikra zao kama baadhi ya wanachadema kuwa Magufuli atakosa support ya wanaccm 2020 watambue kuwa wataumbuka na majina ya wote ndani ya ccm ndani ya cabinet na kila mahali yanayohisi kuwa Magufuli atashindwa 2020 yapo mezani.
JPM endelea kuchapa kazi kwa manufaa ya Tanzania na wanyonge.
Wanaccm na watanzania wazalendo wapo nyuma yako ...
Kivumbi cha kaskazini kimeshatulia sasa ni zamu ya kivumbi cha kusini!!
Anza wewe kuacha uvivu wa kuandika na kueleza kwa kina tufanye kazi kwa bidii kwa msingi upi.Watanzania tufanye kazi kwa bidii..Sio kubaki kulalamika na kulaumu ..