Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Habari wakuu,leo ni zaid ya miaka miwili tokea nipewe adhabu ya kufyatua tofali za kuchoma elfu 3 baada ya kutoroka shule na kwenda kushiriki katika harakati za kuleta mabadiliko na maendeleo ya kweli ndani ya taifa hili katika kwenda kwenye harakati za kupigania rasilimali za taifa ziwanufaishe watanzania wote hasa watanzania wanyonge katika harakati za kweli za kuinua tabaka lililosahaulika lililokosa huduma za muhimu kwasabu ya rushwa na ufisadi uliokithiri katika harakati za vita dhidi ya ufisadi rushwa na harakati zenye lengo la kurudisha heshima na uwajibikaji katika utumishi wa umma.

Leo hii najiona shujaa kwa kuwa kile nachokiamin kimezaa matunda leo nafurah kuona kura yangu ambayo ilinisababishia matatizo imeleta matunda leo naiona Tanzania ya viwanda kwa vitendo leo naona njia ya kufikia uchumi wa viwanda ikiwa nyeupe leo naona kasi ya ajabu katika kufikia Tanzania mpya Tanzania ya uchumi wa kati,Tanzania ya uwajibikaji,Tanzania isiyo na rushwa Tanzania ambayo matabaka hayana nafasi

imeandikwa na
M.K.MSUYA
0784843475
 
Mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli anaenda kuwa mwenyekiti bora wa CCM wa nyakati zote baada ya kurejea kwenye misingi ya Chama cha mapunduzi.

wako wanaojidanganya kwa fikra zao kama baadhi ya wanachadema kuwa Magufuli atakosa support ya wanaccm 2020 watambue kuwa wataumbuka na majina ya wote ndani ya ccm ndani ya cabinet na kila mahali yanayohisi kuwa Magufuli atashindwa 2020 yapo mezani.

JPM endelea kuchapa kazi kwa manufaa ya Tanzania na wanyonge.

Wanaccm na watanzania wazalendo wapo nyuma yako ...

Kivumbi cha kaskazini kimeshatulia sasa ni zamu ya kivumbi cha kusini!!
 
Unatumika kupita kiasi, hata toilet paper haitumiwi kusafisha makalio kisha kupengea makamasi. Wewe ndivyo unavyotumika jambo ambalo sio tuu ni aibu bali ni uchafu pia. Come back to your sense mr Vuvuzela
 
Nakubali 100%
Jakaya kwenye Uenyekiti wa CCM alipwaya sana mpaka akakifanya Chama chetu Kama Chama cha kawaida tu sio Chama tawala

CCM chini ya Mh. Magufuli inarudisha ule u CCM wake tunaoujua Miaka yote kasoro 2005-2015
 
Kwetu sio wavivu, wapigadili hakuna ,tatizo hakuna kazi,tumelima mvua hakuna,mito ya kumwagilia hakuna,kuchoma mkaa marufuku,tumefuga kuku wa kienyeji wameshuka bei, eti siku hizi huko mjini hamli kuku,mnasema hela zimesepa!!!kwahiyo tukilia hatuna pesa sio kwamba hatufanyi kazi,
 
Watanzania tufanye kazi kwa bidii..Sio kubaki kulalamika na kulaumu ..
 
Toa huo muongozo wa namna gani kazi ifanyike na hiyo kazi ni ipi kulingana na hali ya kimazingira
 
Back
Top Bottom