Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania



Utakua gay wewe sio bure....unasifia maungo ya mwanaume mwenzio namna hiyo?
 
Mkuu hujamtazama kwa alivyo sawajika. Uso umejaa hatia ya ukatili kwa wasio na hatia, mauaji ya watu wasio na hatia. Ni kweli ana frustration ya kujitakia.

Kujifunza toka kwa Magu ni kupoteza nafasi yako ya kumpendeza Mungu.
 
Hivi kuna tofauti kati ya MBABE na DIKTETA?

Katika thread moja leo wengi walikataa katukatu kuwa Rais wetu si Dikteta.

Wewe unaweza kutofautishaje ubabe na udikteta?
Ukisimamia haki na ukatolea maamuzi kwa kile unachikiamini
 
"Mbabe"siad baree,mobutu sese seko,macias nguema,adolph hitller nk.mtoa mada unamaanisha nini about weare prezdaa magu
 
Vyovyote vile uonavyo lkn wewe huwezi kufikia alipofika achilia mbali hata kuota tu kama unaweza kufanikiwa kwenye chochote maishani mwako, utabakia kuwa msindikizaji tu, lkn Magufuli ameishi jinsi alivyopanga ni wachache wenye huo uwezo!
Sasa nafasi moja itashikwa na WaTz wangapi Barbarossa ?! Ili ujue kama wengine wanaweza kufanya zaidi yake!!

Kuelekea kustaafu kwa Nyerere watu hawakuamini kama wangempata mbadala wake, lakini taifa linasonga through other people!! Maghufuli atapita na atasahaulika na ndiyo ki binaadamu!!
 
Na ndicho ninachomaanisha, unawezaje kuruka watu milioni 40? Na hapo ndipo ubabe ulipo, ni watu wa aina fulani tu ndiyo wanaoweza kutoboa hivyo, kwani vihunzi ni vingi hivyo kufika huko ni lazima uwe mbabe!
Viunzi ni vyombo vya dola wala siyo yeye!!
 
Mwombe akuteue sasa angalau kanafasi hapo uvccm duh

Ova
 
Vyovyote vile unavyotaka kutafsiri, lkn watu aina ya Magufuli ndiyo wanaofanikiwa Dunia hii na kufikia malengo yao kwani wanajua wanachokitaka na kukichukuwa, wengine wasindikizaji tu!
Hujajibu swali nililokuuliza badala yake umeleta maelezo ambayo sijayahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…