Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
*JF mnaweza kuhamishia viva Magufuli viva kama mkipenda!
Vyovyote utakavyotaka kuitafsiri lkn ukweli ni kwamba Raisi Magufuli kama binadamu ni mbabe, na hii ni asili yake, watu aina yake ndiyo ambao hufanikiwa Dunia hii, jamaa anajiamini kuliko maelezo, anafungua milango iliyofungwa tena anapiga teke na kuingia!
Raisi Magufuli halii lii na kulalamika kama wengine, anajua anachokitaka na kukichukuwa, hakika kama Upinzani wangepata Kiongozi kama Magufuli sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine!
Angalia body Language, akiingia mahali anapamiliki, anachukuwa maamuzi kwa jinsi anvyoona inafaa bila ya kumuogopa mtu.
Hivyo unaweza kumchukia ukitaka lkn kuna mengi ya kujifunza ktk kwake yeye kama binadamu, nina uhakika Magufuli angezaliwa popote pale angetoboa tu, kwa maana ni mbabe na hii Dunia inataka wababe, ...
Mkuu hujamtazama kwa alivyo sawajika. Uso umejaa hatia ya ukatili kwa wasio na hatia, mauaji ya watu wasio na hatia. Ni kweli ana frustration ya kujitakia.*JF mnaweza kuhamishia viva Magufuli viva kama mkipenda!
Vyovyote utakavyotaka kuitafsiri lkn ukweli ni kwamba Raisi Magufuli kama binadamu ni mbabe, na hii ni asili yake, watu aina yake ndiyo ambao hufanikiwa Dunia hii, jamaa anajiamini kuliko maelezo, anafungua milango iliyofungwa tena anapiga teke na kuingia!
Raisi Magufuli halii lii na kulalamika kama wengine, anajua anachokitaka na kukichukuwa, hakika kama Upinzani wangepata Kiongozi kama Magufuli sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine!
Angalia body Language, akiingia mahali anapamiliki, anachukuwa maamuzi kwa jinsi anvyoona inafaa bila ya kumuogopa mtu.
Hivyo unaweza kumchukia ukitaka lkn kuna mengi ya kujifunza ktk kwake yeye kama binadamu, nina uhakika Magufuli angezaliwa popote pale angetoboa tu, kwa maana ni mbabe na hii Dunia inataka wababe, ...
Ukisimamia haki na ukatolea maamuzi kwa kile unachikiaminiHivi kuna tofauti kati ya MBABE na DIKTETA?
Katika thread moja leo wengi walikataa katukatu kuwa Rais wetu si Dikteta.
Wewe unaweza kutofautishaje ubabe na udikteta?
Sasa nafasi moja itashikwa na WaTz wangapi Barbarossa ?! Ili ujue kama wengine wanaweza kufanya zaidi yake!!Vyovyote vile uonavyo lkn wewe huwezi kufikia alipofika achilia mbali hata kuota tu kama unaweza kufanikiwa kwenye chochote maishani mwako, utabakia kuwa msindikizaji tu, lkn Magufuli ameishi jinsi alivyopanga ni wachache wenye huo uwezo!
Viunzi ni vyombo vya dola wala siyo yeye!!Na ndicho ninachomaanisha, unawezaje kuruka watu milioni 40? Na hapo ndipo ubabe ulipo, ni watu wa aina fulani tu ndiyo wanaoweza kutoboa hivyo, kwani vihunzi ni vingi hivyo kufika huko ni lazima uwe mbabe!
Hujajibu swali nililokuuliza badala yake umeleta maelezo ambayo sijayahitaji.Vyovyote vile unavyotaka kutafsiri, lkn watu aina ya Magufuli ndiyo wanaofanikiwa Dunia hii na kufikia malengo yao kwani wanajua wanachokitaka na kukichukuwa, wengine wasindikizaji tu!
Vikundi vya Lowassa na Membe vilimsukumizamo.Amevifikiaje hivyo vyombo vya Dola? Kwa nini wengine wasivifikie pia?
Wape vidonge vyao hawa makarai.Amevifikiaje hivyo vyombo vya Dola? Kwa nini wengine wasivifikie pia?