Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Tunajua kuwa mmeajiriwa kusumbua webye akili zao mitandaoni, mtawapata wachache
 
Mbona sioni hoja yoyote ya msingi katika mada yako. Yeye ni binadamu kama kuna mambo anakosea lazima alaumiwe. Wewe unataka asifiwe hata kwenye mambo ya hovyo?
 


Hahaha wewe hujatumwa wala nn ni kiherehere Tu kinakusumbua

Huko FB mmefukuzwa au bangi zinawasumbua

Profile yako ni kituko unaingia kwenye nyumba za watu bila kusoma mazingira mbuni kweli wewe

Barizi kwanza upepo wa JF upate kujua misimu ya huku ndani kama MKUU ,SIZONJE,KAMANDA ZIRO,ZIRO BRAIN,NISSAN NYEUPE

Pongezi zako mtumie mama jesca atazipeleka ukizituma kipindi cha misiba Nissan nyeupe inakuhusu
 
Tanzania haikuwa kitu chochote katika ramani ya dunia, lakini alipokuja mkombozi wetu Dr John Magufuli Tanzania ikainuka na ikapata heshima kote duniani, sasa kila mtu duniani ni Tanzania Tanzania. HAKIKA TUNAJIVUNIA KUWA NA TANZANIA YENYE NEEMA ILIYONEEMEKA. SASA WALA RUSHWA, MAFISADI NA MABAKA UCHUMI HAWAPUMUI, HAWALALI HAWANA RAHA, WANATAFUTA PA KUKIMBILIA. HONGERA SANA DR MAGUFULI KWA KAZI NZURI. HONGERA PIA KWA KURUDISHA HESHIMA YA UTUMISHI WA UMMA KWANI TANZANIA ILIKUWA INAENDA KUANGAMIA NA KUPOTEZA HESHIMA YAKE. ASANTE MUNGU KWA KUTUPATIA RAIS MAGUFULI.
 
Ni kipindi hiki ambapo watumishi wapo salama sana mtaani ,watumishi sio mafisadi mtaani,kipato cha watumishi mtaani Ni halali,Ujenzi wa watumishi Ni wa kipato halali mtaani,pengo la Mtumishi na asiye Mtumishi mtaani sio kubwa ,MAGU UMERUDISHA USALAMA WA MTUMISHI WA UMMA MTAANI.
 
Mafisadi/mashabiki wa mafisadi hawawezi kukubaliana na wewe,
 
Mkuu una maana watumishi walikuwa na vurugu mtaani na sasa hivi mambo ni swari ? yaani level seat
 
TOFAUTI KATI YA TAJIRI NA MASIKINI

MASIKINI ;humtegemea mtu fulani ili kujifariji katika umasikini wake...pia hapendi kuona wengine wakifanikiwa

TAJIRI;hutazama fursa na mafanikio yake huku akipenda daima kuwa mbali na umasikini

mtoa mada nazidi kukutafakari!
 
Huwezi jenga muundo mbinu wa railway wa standard gauge wa Umeme +facilities zake huku unacheka,WATANZANIA TUACHE UTANI!
 
Mh. Rais Dr john pombe Magufuli pole na majukumu ya hapa na pale ya kujenga taifa , kwa vitu ulivyo vifanya kwa miaka hii miwili uliyo kaa madarakani ni kama umekaa miaka ishirini madarakani maana umegusa maeneo mengi kwa muda mchache, ombi langu kwako Rais wangu nikiwa kama mwananchi wakawaida ninaomba katika ngazi za uongozi huku mitaani iwe sheria kwamba wajumbe mpaka wenyekiti wa mtaa wawe watu wenye elimu isiyo pungua Diploma kuendelea na wawe na kauwezo kakuridhisha kimaisha ili kwamba iwe nafuu kwa haki kutendeka miongoni mwa watu katika jamii, maana kuanzia wajumbe mpaka wenyeviti wa mitaa wengi wao ni watu wasio na elimu na ni choka mbaya hivyo baadhi yao wanalaghaiwa na vijisenti na wamekuwa wakinunuliwa na wenye fedha kwahiyo imekuwa ngumu kwa haki kutendeka katika jamii tofauti na wakiwa watu wenye elimu na uwezo kidogo wa maisha itakuwa ngumu kwao kununuliwa na hivyo itasaidia kuleta haki katika maamuzi mitaani.Mungu aendelee kukupa afya Rais wetu
 
Hawa akina Dr Mollel, Msando, Samson, Katambi, Anna, Masha, Mkumbo, Kafulila n.k wote hawana diploma? shame on you
 
Ongezea na kwa wakuu wa mikoa
Kwa wakuu wa mikoa wenyewe uongozi wao unaonekana kwa urahisi zaidi katika jamii tofauti na wajumbe na wenyeviti wa mitaa ,hivyo wenyewe watapimwa kwa jinsi wanavyo ongoza kama hawafai watatolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…