Tupo. Umemwelewa huyo mleta mada??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo. Umemwelewa huyo mleta mada??
Chungulia kwenye tunguli zako huyo mleta mada ana maana gn?
Tunajua kuwa mmeajiriwa kusumbua webye akili zao mitandaoni, mtawapata wachacheMnao mlaumu Mhe. Rais kwa mema atendayo kwa taiga hili mlitaka afanye nini?
Awali ya yote nitoe pongezi za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi ngumu na kubwa.
Ni wazi kuwa nchi yetu ilikuwa inahitaji kiongozi maini na mahiri kwa maslahi ya nchi yetu, uongozi wake umefanya watanzania wajenge imani kuwa kwa serikali iliyoko madarakani.
Ni muda ambao Vijana na watanzania wote kuacha lawama za ajabu na kutumika na makundi ya siyo mema kwa nchi yetu, ni muda ambao Vijana tunatakiwa kujisia fahari na kujivunia kwa kuwa na uongozi una hali maslahi ya watanzania wote bila kujali itikadi zao, ni muda ambao Vijana kwa umoja wetu twapaswa kuwa matatizo wa mbele katika kushirikiana na serikali yetu katika
Mbona sioni hoja yoyote ya msingi katika mada yako. Yeye ni binadamu kama kuna mambo anakosea lazima alaumiwe. Wewe unataka asifiwe hata kwenye mambo ya hovyo?Mnao mlaumu Mhe. Rais kwa mema atendayo kwa taiga hili mlitaka afanye nini?
Awali ya yote nitoe pongezi za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi ngumu na kubwa.
Ni wazi kuwa nchi yetu ilikuwa inahitaji kiongozi maini na mahiri kwa maslahi ya nchi yetu, uongozi wake umefanya watanzania wajenge imani kuwa kwa serikali iliyoko madarakani.
Ni muda ambao Vijana na watanzania wote kuacha lawama za ajabu na kutumika na makundi ya siyo mema kwa nchi yetu, ni muda ambao Vijana tunatakiwa kujisia fahari na kujivunia kwa kuwa na uongozi una hali maslahi ya watanzania wote bila kujali itikadi zao, ni muda ambao Vijana kwa umoja wetu twapaswa kuwa matatizo wa mbele katika kushirikiana na serikali yetu katika
Mnao mlaumu Mhe. Rais kwa mema atendayo kwa taiga hili mlitaka afanye nini?
Awali ya yote nitoe pongezi za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi ngumu na kubwa.
Ni wazi kuwa nchi yetu ilikuwa inahitaji kiongozi maini na mahiri kwa maslahi ya nchi yetu, uongozi wake umefanya watanzania wajenge imani kuwa kwa serikali iliyoko madarakani.
Ni muda ambao Vijana na watanzania wote kuacha lawama za ajabu na kutumika na makundi ya siyo mema kwa nchi yetu, ni muda ambao Vijana tunatakiwa kujisia fahari na kujivunia kwa kuwa na uongozi una hali maslahi ya watanzania wote bila kujali itikadi zao, ni muda ambao Vijana kwa umoja wetu twapaswa kuwa matatizo wa mbele katika kushirikiana na serikali yetu katika
Umesoma vizuri nilivyo andika ??Hawa akina Dr Mollel, Msando, Samson, Katambi, Anna, Masha, Mkumbo, Kafulila n.k wote hawana diploma? shame on you
Kwa wakuu wa mikoa wenyewe uongozi wao unaonekana kwa urahisi zaidi katika jamii tofauti na wajumbe na wenyeviti wa mitaa ,hivyo wenyewe watapimwa kwa jinsi wanavyo ongoza kama hawafai watatolewaOngezea na kwa wakuu wa mikoa