Ndiyo maana wanatanga tanga.Kakobe kawashika pabaya Lumumba. Povu lazima limwagike. Na ole wenu mumsumbue
Mnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen
Mbona hujaandika namba ya simu mkuuMnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen
Provocation!Mungu kamchagua Magu au wapiga kura ndio walimchagua? Sio kila kitu kinachotokea duniani in mkono wake vingine ni vya kishetani
Hahaha Unahitaji hurumaKakobe kawashika pabaya Lumumba. Povu lazima limwagike. Na ole wenu mumsumbue
Kazi ya kukemea pepo kuu sio jambo jepes hata hvyo halijawai kushinda nguvu za Mungu.Likiendelea kutesa wanyonge waMungu litalaniwa tuMnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen
Kweli kabisa! Ndio maana hata watumishi wa Mungu wameshituka wameona kila siku wanamuombea shetani roho wa Mungu ameanza kuwaacha.Mungu kamchagua Magu au wapiga kura ndio walimchagua? Sio kila kitu kinachotokea duniani in mkono wake vingine ni vya kishetani
Mwenyewe unakomaa kumtetea, ila hutoweza!Mnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen
Sawa, umwambie arejeshe MV Dar es salaam aliyoinunua kwa sh8 billion kama kweli ni msafi
miungu wako wengi wewe na Huyo magu wako mnaabudu mungu yupi,?Mnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.