Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Lumumba wanaruka na kukanyagana haaaa kazi za kununua binadamu hazina tija
 
Ni kweli hawezi kulaaniwa

Kwa sababu ni halali kuwabomolea makazi wanapoishi watu na kuwakosesha sehemu ya kuishi
 
Magufuli yuko kundi la akina Mabutu, Bokasa, Hitler, Idd Amin, na wengineo wenye tabia za aina ya watu hao, hivyo huwezi Mungu kumhusisha na tawala dhalimu za watu hao
 
Mnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen

Yawezekana mwenye ID hii ni yule shemeji aliyetolewamo mtoto.
 
Mbona hujaandika namba ya simu mkuu
 
Ngoja nikae vizuri nikusome.

Update
Amina nami namfurahia

Ila hii ID mmmmmh aiseee.. bora umemtambua sasa.. karibu kwenye kushangilia lori la JPM.
 
Kakobe kawashika pabaya Lumumba. Povu lazima limwagike. Na ole wenu mumsumbue
Hahaha Unahitaji huruma
Mlikuwa na Mange,Gwajima
leo mnasema Kakobe ndio nani nchi hii!!
Hana lolote huyo ni kifaranga tu
Nakuhakikishia hatachukua muda
huyo Anatafuta namna ya kujitafunia pesa za Wajinga kwa Kiki
 
Mnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen
Kazi ya kukemea pepo kuu sio jambo jepes hata hvyo halijawai kushinda nguvu za Mungu.Likiendelea kutesa wanyonge waMungu litalaniwa tu
 
Magufuli mtu wa haki..Mungu hajawahi kumtupa mtu wa haki
 
Mungu kamchagua Magu au wapiga kura ndio walimchagua? Sio kila kitu kinachotokea duniani in mkono wake vingine ni vya kishetani
Kweli kabisa! Ndio maana hata watumishi wa Mungu wameshituka wameona kila siku wanamuombea shetani roho wa Mungu ameanza kuwaacha.
 
Mnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen
Mwenyewe unakomaa kumtetea, ila hutoweza!
 
miungu wako wengi wewe na Huyo magu wako mnaabudu mungu yupi,?

sisi mungu wetu si wa chuki roho mbaya, visasi mauaji, uzinzi na uasherati
 
Naomba uorodheshe angalao mambo matano tu ya pekee ambayo ameyafanya Magufuli yenye faida kwa wananchi wa hali ya chini. Pia uweke mambo 10 ya ovyo aliyoyafanya kwa watu wa hali ya chini (ukishindwa wengine kwenye hili tutakusaidia)
 
Tangu jana matoa like nyingi! Hakika neno la Mungu ni kali kama upanga!
 
Back
Top Bottom