Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nidhamu ya kazi au kawajaza watu ujasiri hadi wa kutaka kuua kwa sababu ya utofauti wa mawazo?!
 
nidhamu watu hatujapata mshahara mpaka leo tarehe 26! skukuu tumejificha ndan tu kwa roho mbaya za watu!
 
Nakushauri usome tena ulicho kiandika
 
Lete matokeo ya utafiti Wa nidhamu makazini kabla ya JPM na baada yake

No research no right to speak
 
Magufuli nae atapita tu kama walivyopita wengine...walikuwepo watu wakorofi, watata, wanaojiona wazalendo kupitiliza.....mwisho wa siku huwa ni hewa na kujilisha upepo....haki na usawa ni vitu ambavyo vitabaki milele huwa vinachelewa tu....Historia ni mwalimu tosha...still watu hawajifunzi tu....hao ambao wamepotea na serikali haina majibu...wajue ni watoto wa watu,Baba wa watu....wanaumia vilele hao ndugu zao......Na damu ya mtu huwa haipotei...uhai wa mtu....lazima ulipwe....hao wanaopoteza watu...wasifikiri ndo uzalendo....uzalendo mkubwa ni kulinda wananchi kuhakikisha wanaamani kuanzia mtoto mdogo hadi kizee....The government ni kama baba wa familia..however mtoto waki ni mtundu au mkorofi...humpi sumu kisa hutaki karaha..unatafuta namna ya kumsaidia..Na ktk familia kuna watoto wa tabia tofaout..kuna wapole, watundu, wakirofi, walafi..etc Kama baba unabidi uwafahamu wote jinsi walivyo na upambane mchana na usiku mpaka wao kwa wao waelewane na wafanikiwe...Watu kama Lissu ni kama watoto Watundu....na Mtu kama Bashite ni kama mtoto mwenye kiherehere kujipendekeza kwa baba..Mzazi unabidi ugundue haya na ujue namna ya wewe kuishi nao.na wao kwa wao kuelewana
 
CC cocochannel:
Wewe ni mweupe mno upstair na sidhani kama unajua ulichokuwa unakiandika!
Usipende kuwachonhanisha watu kwa mtazamo wako duni na uwezo wako dhaifu!
Hivi ukiulizwa chanzo cha taarifa yako pamoja na ushahidi juu ya madaktari na manesi kufanya uliyoyaandika unao?
Acha kujipendekeza kishabiki na kiswahili chako cha darasa la tatu!
 

Hakuna anayemlaani,bali anajilaani mwenyewe na familia yake
 
Haya ahsante kama na washwa lkn haya eleweki umekosea sana.
Samahani siku jua kama ntakukwaza

Mimi ndivyo niandikavyo basi.. siwekagi kumwagika.. ungezoea kunisoma ungejua tu nina sababu zangu nyingi tu za kufanya hivyo.. humu ni kwa forum.. mtelemko kwangu hapana.. dakua dakua tu. Kwangu ni msg sent and delivered.
 
Mimi ndivyo niandikavyo basi.. siwekagi kumwagika.. ungezoea kunisoma ungejua tu nina sababu zangu nyingi tu za kufanya hivyo.. humu ni kwa forum.. mtelemko kwangu hapana.. dakua dakua tu. Kwangu ni msg sent and delivered.
Usije ukawa hujui kusoma na kuandika vzr
 
Habari zenu wana jf

Kwanza nitoe salam za pongezi kwenu nyote kwa kusherekea sikukuu ya Christmas na pia pole kwa wote walioshindwa kusherekea kutokana na sababu mbalimbali kama vile ugonjwa, safari, vyuma kubana, n.k.

Kuanzia sasa nimeona itakuwa ni busara zaidi kusapoti kile kinachofanywa na mh. Rais Magufuli kutokana na kutenda vile nchi ilivokuwa ikitakiwa kwenda, hakika kila sehemu imekuwa ikienda vile inavyotakiwa kwenda. Pongezi za dhati zimfikie mh. Rais popote alipo mimi nipo naye na nitafanya kazi ili nisimuangushe rais wangu. Sijaona angle ambayo ninaweza mpinga kwa nia njema mh. Rais, na kwa aliyoyafanya hadi sasa inatakiwa kila mwananchi aseme kwa sauti moja tena iliyo kuu kuwa RAIS WANGU NAKUUNGA MKONO PIGA KAZI.

mimi nipo na JPM ww je?......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…