Barack Obama jr
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 592
- 982
Nidhamu ya kazi au kawajaza watu ujasiri hadi wa kutaka kuua kwa sababu ya utofauti wa mawazo?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu tupo kwenye sherehe za maana, Christmas na kuelewa mwaka mpya ww unatuchafulia hali ya hewa. .....Ni kweli kabisa nidhamu imerejea!
Kidumu Chama cha Mapunduzi Kidumu Chama tawala
Nakushauri usome tena ulicho kiandikaAmefanikiwa kiasi kikubwa ukiringanisha na kabla hajawa Raisi.. ila kuna kazi bado haswa wale wanaowaonea wivu walio na maujuzi au elimu zaidi yao. Mimi kabla ya kusumuliwa yanayojiri tena na wafantakazi walio ngazi za chini.. husiowategemea wanajua ya jikoni kupita.. nimebaki mataa.. nchi hii watanzania wenyewe wengi ndio majipu wenye roho ya mbaya ya ajabu.
Na pia kuna wafanyakazi wanaoacha watu wanakufa mahospitalini kisa wameletewa wapya eti wenzao wasio na vyeti walitolewa eti wanaacha hao wasomi basi wafanya wao wenyewe.. ni ya kusikitisha sabaabu wanaju hawaulizwi maswali na hao waganga wakuu wengii kutambua mabadiliko mmmmmh.. kuna kazi bado..
Hii kitu imetandaa sana na inasikitisha kuwa binadamu wa nchi yetu haswa hao wa kwenye sekta ya afya kuna waluogeuka kuwa wauaji.
Nitafurahia nikija kusikia pia katika namba ya vifo vya watoto wanaozaliwa na mama zao wakati wa kujifungua takwimu zikoje.. mtu ukiringanisha na kabla haswa hajaingia kuwa Raisi au kabla ya wenye vyeti feki hawajaondolewa.
Ni gazeti la kuandika la matukio ya unyama niseme ya ajabu sana.. ila ndio hivyo.. ni mimi nijuaye kupata habari nikiwa kitaaaa.. wengi wanapenda kunisumulia yanayojiri kwenye hizo hopitali za wilaya na ndogo zake.. ni kuishi vizuri na watu wa rika zote maishani tangu nikiwa mdogo ndio zinaniwezesha kwenye mengi.
Maeneo mengine nayo mmmmmh.. nikijisikia nitashusha
Haya hii ni moja ya funga mwaka 2017
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Nakushauri usome tena ulicho kiandika
Haya ahsante kama na washwa lkn haya eleweki umekosea sana.Ili iweje?
Yanakuwashia nini niliyoandika?
Haya ahsante kama na washwa lkn haya eleweki umekosea sana.
Samahani siku jua kama ntakukwaza
Usije ukawa hujui kusoma na kuandika vzrMimi ndivyo niandikavyo basi.. siwekagi kumwagika.. ungezoea kunisoma ungejua tu nina sababu zangu nyingi tu za kufanya hivyo.. humu ni kwa forum.. mtelemko kwangu hapana.. dakua dakua tu. Kwangu ni msg sent and delivered.