Richard matage
Member
- Dec 4, 2017
- 34
- 9
Mkuu hapo ungumbaru ni upi? Kufika Congo?Peleka.ungumbaru huko
Makamanda bana siku hizi mnaona nyota tu. Chezea MagufuliPeleka.ungumbaru huko
Mijitu mingine imezaliwa na kisirani, inahubiri uzalendo kumbe imejaa ukanda.Mkuu hapo ungumbaru ni upi? Kufika Congo?
Atakumbukwa kwa udikteta kama nduli Idd AminiMakamanda bana siku hizi mnaona nyota tu. Chezea Magufuli
Uzoefu unaonesha mtamsifia sn mara tu akiondoka madarakani ndio siasa zenu hizo.Atakumbukwa kwa udikteta kama nduli Idd Amini
Maneno ya bavicha hayo.Atakumbukwa kwa udikteta kama nduli Idd Amini
We unawaheshimu wenzio!???
Kasi ipi unakurupuka andika kwa data,au kasi ya kuwashika akina Msigwa na akina sugu tupe data sio unakurupuka tu.Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Mazuri ya watu kuototwa wakiwa maiti na kupigwa risasi wanihoji sio,na yeye kukaa kimya bila kukemea wala kutoa tamkoMimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji