Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sijui huyu tumainiel huwa ana tatizo gani,
kila nikimsoma nahisi kama hayuko sawa,
au ndo sampuli za kina @deokisandu na yule edward nyerere nini?
 
Hama chama sasa.. unapenda ballaaa[emoji196]
 
Reactions: BAK
Mh Rais ametengeneza kitu hatujakielewa ila at last umefika wakati kila mtanzania ni usalama wa taifa. Majambaz wote na majizi ya rasilimali yote hayana pakujificha..

Ahakikishe kila mfanyakazi wa kampuni kubwa awe usalama wa taifa. Wizi na uhuni mkubwa unafanywa katika hizi kampuni kubwa zote unazozisikia, tena wizi unaosaidiwa na vijana watanzania wenzetu katika hizi kampuni.
 
Mh Rais ametengeneza kitu hatujakielewa ila at last umefika wakati kila mtanzania ni usalama wa taifa. Majambaz wote na majizi ya rasilimali yote hayana pakujificha..
Hahaha majambazi nayo ni matanzania nayo ni mausalama ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…