Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

mi nacheka mbaka mbavu zinauma ila mimi si mwanasiasa jamani mi mjasiliamali ila ujasiliamali usha nishinda bora nianze kulima maana makodi yamenishinda
 
Mtu kwa mimi asiongee ukweli?

Sadam Hussen kbl hajaondolewa madarakani kama tutakavyomuondoa huyu light tlaki alipata kura 100% bungeni.
 
Kahawa vip Bei huko kigoma, Arusha, kmanjaro na kagera??
Vip tumbaku huko tabora ??
Pamba je mwanza na shinyanga or simiyu??

Sis huku ntwara tunachekelea na korosho zetu matajiju
 
Angefaa apewe tuzo la Nobel au ya Mo Ibrahim.. kwa sifa ya uongozi bora; pamoja na kudumisha demokrasia...na kuwa mfano kati ya watawala wa Afrika


Pia bunge limpe hadhi ya kuwa raisi wa Kudumu
Wewe fala sana hiyo Tuzo unadhani hutolewa kifala fala? Kwani watoa tuzo hawajuia kuwa Tanzania hakuna haki za binadamu? Unadhani hawajuia kuwa hakuna uchaguzi wa huru na haki? Wanajua kuwa Udikteta ni sera ya CCM ya sasa Wapinzani wanapigwa Risasi, wanabambikiwa kesi, wanafungwa jela, madiwani, wabunge na Wapinzani kwa ujumla wananunuliwa uchaguzi unarudiwa kwa gharama kubwa huku tumeccm na polisiccm wakifanya uchakachuaji na kuwasimika washindi haramu na feki wa CCM, majimbo mengi yanaongozwa na wabunge wa CCM ambao si chaguo la wapiga kura bali ni chaguo la Tume ya uchaguzi ya CCM.
 
Mwaka atakaokuja Magufuri kumaliza awamu yake/ itakuwa kama tumejitua mzigo mzito/ hakika Tanzania inapita kwenye kipindi ambacho haijawai pita tangu kuundwa kwa dunia, , tumepatikana walahi
 
Angefaa apewe tuzo la Nobel au ya Mo Ibrahim.. kwa sifa ya uongozi bora; pamoja na kudumisha demokrasia...na kuwa mfano kati ya watawala wa Afrika


Pia bunge limpe hadhi ya kuwa raisi wa Kudumu
Duh, we MTU umeandika nn?ni njaa na kujipendekeza kwenye uficho wa maoni au
 
Angefaa apewe tuzo la Nobel au ya Mo Ibrahim.. kwa sifa ya uongozi bora; pamoja na kudumisha demokrasia...na kuwa mfano kati ya watawala wa Afrika


Pia bunge limpe hadhi ya kuwa raisi wa Kudumu
Duuuuuu hzo kejeliii mkuu
 
Angefaa apewe tuzo la Nobel au ya Mo Ibrahim.. kwa sifa ya uongozi bora; pamoja na kudumisha demokrasia...na kuwa mfano kati ya watawala wa Afrika


Pia bunge limpe hadhi ya kuwa raisi wa Kudumu
Ntaleta mada hivi karibuni juu ya mada ya Mkuu kuwa kiongozi wa kudumu.
 
Jamii forums ni jukwaa huru kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake.Nadhani tuheshimu mawazo ya kila mtu
 
YAANI UMEMGRADE MKOLMIJE KWA BEI YA KODO(KOROSHO)? NIKISEMA NA WEWE UNA AKILI KAMA BASHITE NITAKUWA NIMEKOSEA? HIVI UMEANGALI KADA NYINGINE ZINAVYOTESEKA? ENZI ZA KIKWETE PPF/NSSF ULIKUWA UNAPATA NDANI YA MWEZI,SASA HIVI UNAZIENYEA MWAKA MZIMA NDIO UNAKUJA KUPEWA NA MHUTU KASHAPITISHA KWAMBA KWA SASA HAKUNA KUTOA TUNASUBIRI ADONDOKE WINO TU.

UMEFIKIRIA MAKAMPUNI/WAFANYABIASHARA WALIOFUNGA BIZNESS ZAO? VIPI UMEFIKIRIA AJIRA ZILIZOPOTEA HAPO?

UMEFIKIRIA UNUNUZI WA MELI BOVU LA BILIONI 8 AMBALO NI SCREPA NA LIJAWAHI KUTUMIKA? BILIONI 8 ALIZOPIGA MUHUTU VIPI?

UMEFIKIRIA HASARA TULIZOPATA KWA KUNUNUA BOMANDIA NA HASARA YA ATCL? HIYO MITRILLIONI ILIYOPOTEA KWELI ISINGEWEZA KUFANYA JAMBO LINGINE?

UMEFIKIRIA HARASSMENT WALIYOFANYIWA WAFANYABIASHARA WAKUBWA KWA SABABU ZA KISIASA? ONA SOKO LA MBAAZI LILIVYOSHUKA,ONA GHARAMA ZA UJENZI ZILIVYOPANDA,ONA WAFANYABIASHARA WALIVOONDOKA TZ KWA CHUKI/VISASI VYA KISIASA.

UMEFIKIRIA WAKAZI WA KIMARA WALIOBOMOLEWA MAJUMBA YAO? UMEFIKIRIA WALIOFUKUZWA KWA VYETI FEKI NA KUDHULUMIWA MAFAO YAO? UMEFIKIRA KWELI AU UMEANGALI BEI YA KOROSHO TU? HILI SWALA LA VYETI WATU WALIOFUKUZWA TUPO NAO MTAANI,UKIMTAJIA MUHUTU ANAWEZA KAUPA KERBU,WANATESEKA SANA,UMEWAFUKUZA BASI WAPE MAFAO YAO BASI.

UMEFIKIRIA WAZAZI,NDUGU WALIOPOTEZA WAPENDWA WAO KWA AWAMU HII YA 5? BEN,AZORY,MADIWANI WAMEUAWA KIPINDI HIKI,UMEFIKIRIA UMINYWAJI WA HAKI YA KUJIELEZA/MAONI? UMEFIKIRIA UKANYAGWAJI WA KATIBA? HIVI UMEFIKIRIA KWELI AU UMEWAZA KOROSHO KAMA MUHUTU NA PDH FEKI YA MAGANDA YA KOROSHO?

KUUUA WAPINZANI SIO SOLUTION,UKIUA MMOJA ANAIBUKA MWINGINE TENA WANAIBUKA KWA KASI YA AJABU,MMEMPOTEZA BEN,LEO KUNA MDUDE,KUNA MALISA,KUNADWASON,KUNA NONDO,KUNA MTATIRO,KUNA ETC LIST NI NDEFU,JE MTAWAMALIZA WOTE HAO?
 
Leo Mhe Rais Magufuli ameweka Jiwe la Ujenzi wa Standard Gauge Railway (SGR).. Kitendo alichofanya ni kitendo cha kishujaa na kuthubutu cha ujenzi wa reli ya kisasa. Mhe Rais sisi Wananchi tupo nyuma yako kwa masuala ya maendeleo. Hongera sana Mhe. Rais. Umethubutu.
 
hii reli iko wapi?
 
Tumeona na kusikia a concerted effort ya kum disgrace Rais Magufuli.

Nchi za Magharibi zimepanic, umasikini wa kiviwanda utapotea karibuni.

Magufuli anaweka misinginya miundombinu kwa uchumibwa viwanda.

Umeme wa Stieglers Gorge~2100MW

SGR~Usafiribwa malighafi na mazao ya biashara

Bomba la mafuta~tutafaidika na mafuta ya Uganda

Air Tanzania~biashara ya utalii kuongezeka

Watu wa nje kupiga vita juhudi hizi ni kujipotezea muda.

Mwalimu aliacha legacy ya Kidatu, Mtera, viwanda vya ngio na korosho.
Magufuli vivyo, umeme wa Stieglers Gorge na SGR ni tosha kabisa.

Kwa mtaji wa maendeleo haya, kina The Economist watalia sana.
 
Naam.... eee malaika mkuu iamuru Tanzania igeuke ulaya in a minute!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…