hakuna uchawi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 661
- 677
mi nacheka mbaka mbavu zinauma ila mimi si mwanasiasa jamani mi mjasiliamali ila ujasiliamali usha nishinda bora nianze kulima maana makodi yamenishinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kwa mimi asiongee ukweli?Halafu kila siku mnalilia uhuru wa kujieleza lakini hamtaki wengine wajieleze.
Ninyi mkipewa madaraka mtakuwa zaidi ya hao mnaowapigia kelele.
Unakuta mtu analilia eti uhuru wa kujieleza halafu yeye akitoa hoja anatoa vitisho vya kuwapa ban wale wote hawakubaliani na hoja zake.
Lazima muelewe Uhuru wa kujieleza sio one way traffic.
Wewe fala sana hiyo Tuzo unadhani hutolewa kifala fala? Kwani watoa tuzo hawajuia kuwa Tanzania hakuna haki za binadamu? Unadhani hawajuia kuwa hakuna uchaguzi wa huru na haki? Wanajua kuwa Udikteta ni sera ya CCM ya sasa Wapinzani wanapigwa Risasi, wanabambikiwa kesi, wanafungwa jela, madiwani, wabunge na Wapinzani kwa ujumla wananunuliwa uchaguzi unarudiwa kwa gharama kubwa huku tumeccm na polisiccm wakifanya uchakachuaji na kuwasimika washindi haramu na feki wa CCM, majimbo mengi yanaongozwa na wabunge wa CCM ambao si chaguo la wapiga kura bali ni chaguo la Tume ya uchaguzi ya CCM.Angefaa apewe tuzo la Nobel au ya Mo Ibrahim.. kwa sifa ya uongozi bora; pamoja na kudumisha demokrasia...na kuwa mfano kati ya watawala wa Afrika
Pia bunge limpe hadhi ya kuwa raisi wa Kudumu
Duh, we MTU umeandika nn?ni njaa na kujipendekeza kwenye uficho wa maoni auAngefaa apewe tuzo la Nobel au ya Mo Ibrahim.. kwa sifa ya uongozi bora; pamoja na kudumisha demokrasia...na kuwa mfano kati ya watawala wa Afrika
Pia bunge limpe hadhi ya kuwa raisi wa Kudumu
Duh, we MTU umeandika nn?ni njaa na kujipendekeza kwenye uficho wa maoni au
Duuuuuu hzo kejeliii mkuuAngefaa apewe tuzo la Nobel au ya Mo Ibrahim.. kwa sifa ya uongozi bora; pamoja na kudumisha demokrasia...na kuwa mfano kati ya watawala wa Afrika
Pia bunge limpe hadhi ya kuwa raisi wa Kudumu
Ntaleta mada hivi karibuni juu ya mada ya Mkuu kuwa kiongozi wa kudumu.Angefaa apewe tuzo la Nobel au ya Mo Ibrahim.. kwa sifa ya uongozi bora; pamoja na kudumisha demokrasia...na kuwa mfano kati ya watawala wa Afrika
Pia bunge limpe hadhi ya kuwa raisi wa Kudumu
YAANI UMEMGRADE MKOLMIJE KWA BEI YA KODO(KOROSHO)? NIKISEMA NA WEWE UNA AKILI KAMA BASHITE NITAKUWA NIMEKOSEA? HIVI UMEANGALI KADA NYINGINE ZINAVYOTESEKA? ENZI ZA KIKWETE PPF/NSSF ULIKUWA UNAPATA NDANI YA MWEZI,SASA HIVI UNAZIENYEA MWAKA MZIMA NDIO UNAKUJA KUPEWA NA MHUTU KASHAPITISHA KWAMBA KWA SASA HAKUNA KUTOA TUNASUBIRI ADONDOKE WINO TU.Poleni sana ambao nitawakwaza, Sawa mimi ni Mpinzani tena nina kadi
ambayo nimeilipia, lakini upinzani hauwezi kunifanya niwe Mnafiki na
kuuficha Ukweli.
Kipindi ambacho tuliteseka na kusaga meno hakuna aliyetujali, ni kipindi
ambacho Korosho ilikopwa na ikalipwa kwa awamu 3 mpaka 5, kilikuwa
ni kipindi kichungu sana sio tu CCM hata wapinzani wenzetu hawakuona
umuhimu wetu. Nikumbushe tu Tumewahi kukopwa Korosho na mpaka
leo hatujalipwa, wanaokumbuka wanakumbuka.....................
Leo wenzetu wengine naona munamsifia na kumpongeza Kikwete kuwa
alikuwa Bora, sawa ni haki yenu kwa sababu muliona manufaa yake.
Leo hii Tandahimba Tumemsimamisha Mbunge wa Upinzani Ndg. Katani A Katani
cha ajabu huyu ndiye Kinara wa ununuzi wa KANGOMBA tena mbaya zaidi ana
kashfa ya kununua korosho mbovu kutoka mkoa wa pwani....... sitaki kulizungumzia
hilo, wanaotuangusha na kutuletea matatizo kwa sasa ni viongozi wa vyama vya Msingi,
ushirika na viongozi wengine wa Halmashauri ambao wakibanwa vizuri matatizo
yatakwisha.......................... Mbunge wa CCM aliyepita ni mbovu, huyu wa upinzani hamna
kitu tena alikuwa na ushirikiano mkubwa kabisa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Mtwara ambaye muda huo alikuwa Kiongozi wa Chama kikuu cha ushirika. Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mtwara na Mbunge wa Tandahimba CUF wameshirikiana sana kutuhujumu
Rais Dr.John Pombe Magufuli umeanza vizuri sana kwenye zao hili la Korosho
najua sio mtu wa kuokea Ovyo Ripoti za Kupikwa, KANGOMBA inahusisha baadhi
ya Vigogo. Kuwa SERIOUS na eneo hili la KANGOMBA ndio kwenye chanzo cha
matatizo yote haya ambayo yamebaki.
WAKULIMA WA KOROSHO TUNAKUKUBALI SANA, kipindi chako kifupi mabadiliko ni
makubwa sana.
hii reli iko wapi?Leo Mhe Rais Magufuli ameweka Jiwe la Ujenzi wa Standard Gauge Railway (SGR).. Kitendo alichofanya ni kitendo cha kishujaa na kuthubutu cha ujenzi wa reli ya kisasa. Mhe Rais sisi Wananchi tupo nyuma yako kwa masuala ya maendeleo. Hongera sana Mhe. Rais. Umethubutu.
Naam.... eee malaika mkuu iamuru Tanzania igeuke ulaya in a minute!!Tumeona na kusikia a concerted effort ya kum disgrace Rais Magufuli.
Nchi za Magharibi zimepanic, umasikini wa kiviwanda utapotea karibuni.
Magufuli anaweka misinginya miundombinu kwa uchumibwa viwanda.
Umeme wa Stieglers Gorge~2100MW
SGR~Usafiribwa malighafi na mazao ya biashara
Bomba la mafuta~tutafaidika na mafuta ya Uganda
Air Tanzania~biashara ya utalii kuongezeka
Watu wa nje kupiga vita juhudi hizi ni kujipotezea muda.
Kwa mtaji wa maendeleo haya, kina The Economist watalia sana.