Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Air Tanzania route ya mtwara-chato inaongezaje utalii

Inasaidia Rais kuwahi majukumu yake ya kikazi Mtwara, km kufungua kiwanda cha LPG akitokea mapumzikoni Chatto. Au hujui kuwa Rais wako kwao ni Chatto na anastahili kupewa stahiki zake zote za cheo hicho kuanzia hukohuko Chatto.
.
 
Rais wetu siyo tarumbeta la wamarekani na wazungu wengine. Tafadhali mwacheni rais wetu
 
Mh Dr jpm magufuli ni rais bora kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii ni rais aliyeweza kutumia mawe anarushiwa kuijenga Tanzania mpya.Tanzania ya inayowajali wanyonge,Tanzania inayotoa haki na usawa kwa wananchi wake,Tanzania inayojali na kuthamini wazee,Tanzania inayowezesha vijana kujikomboa kiuchumi kwa kuweka mazingira rafiki ya kujiajiri.

Magufuli amekuwa mfano mzuri sana wa kuigwa kwa watawala wengine.
Amegeuza Tanzania iliyokuwa inanuka rushwa na ufisadi kuwa Tanzania yenye uchumi wa viwanda.
Amegeuza Tanzania iliyokuwa inanuka kujuana na matabaka kuwa nchi ya inayojali maslai ya wanyonge na usawa
Amegeuza Tanzania iliyokuwa haiishi maandamano vurugu za kisiasa pamoja na matusi bungeni kuwa Tanzania ya wachapa kazi na wanaojielewa
Vijana tunakubali sana utendaji wake na tunakuunga mkono kweli kelele za chura hazimzuu tembo kunywa maji
Dereva tuna imani na roli lako piga kazi watanzania tupo nyuma yako
 
mmecharuka kweli tokea msikie wakuu wa wilaya watabadilishwa na kuteuliwa wengine
mnajaza u.pupu tu humu
 
*Na Emmanuel J. Shilatu*

1. Serikali yake inatoa ELIMU BURE kuanzia Elimu ya Msingi mpaka Sekondari. Hii imesaidia sana Watoto wa Wanyonge kupata haki ya elimu, kupata haki ya kuelimika.

2. Aliondoa ofisi na kuamuru zigeuzwe kuwa wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Muhimbili. Leo hii akina Mama hawajifungulii tena chini bali kitandani, leo hii akina Mama hawalali wawili wawili bali kila kitanda na Mtu mmoja.

3. Aliamuru wakazi wa Pwani wapewe hekari 65 kutoka katika ardhi ya Magereza. Hii ilisaidia zoezi la wakazi hao kuondolewa lisitishwe mara moja na mpaka kesho Watu wanaishi kwa amani tele katika eneo hilo.

4. Aliamuru Wamachinga na Mama Lishe kutokusumbuliwa na kamata kamata ya Mgambo. Leo hii Wamachinga wanafanya shughuli zao kwa uhuru mkubwa.

5. Anahakikisha Wazee wanapewa Bima za Afya za Matibabu bure. Tangu Serikali ya awamu ya 5 yake Dk. Magufuli iingie madarakani kasi ya utoaji wa Bima za afya kwa Wazee zaidi ya miaka 60 wasiojiweza imeongezeka. Hii imesaidia afya za Wazee wetu kuwa na uhakika wa usalama zaidi.

6. Amehakikisha kila Hospitali ya Serikali inajengewa duka la dawa ndani kupitia MSD. Hii imesaidia upatikanaji wa dawa muhimu na kwa bei nafuu ambazo kila Mtu atamudu. Wanyonge hawateseki tena kwa kukosa dawa ama kulanguliwa dawa kwa bei kubwa.

7. Amehakikisha rasilimali za Taifa mfano madini, mchanga ama Wanyama hai kutokusafirishwa nje. Hii imesaidia rasilimali za Taifa kuweza kuwanufaisha Watu wote wakiwemo wanyonge.

8. Ameimarisha hali ya uwajibikaji na uadilifu kwa Watumishi wa umma. Hii imesaidia uimarishwaji wa utendaji kazi na utolewaji wa huduma kwa haraka na kwa Watu wote. Leo hii Watu wa hali ya chini wanapata haki sawa ya kusikilizwa na kuhudumiwa sawa na wanaojiweza tofauti na hali ya awali ilivyokuwa si ya kuridhisha.

9. Baadhi ya Watoto wa maskini waliokuwa wakisota mitaani kwa kukosa ajira wamepata fursa za ajira rasmi mara baada ya kufanikiwa kuwatimua wenye vyeti feki ambao hawakustahili kuwepo kwenye nafasi walizokuwa wakizitumikia.

10. Alifuta kodi ya usafirishaji wa mazao kwa Wakulima wanaosafirisha mazao yao chini ya tani moja.

11. Anawasikiliza na kutatua kero pale pale za Watu wanaokimbilia kwake wakati wa mikutano ya hadhara. Watu hawa wengi wao ni wanyonge walioshindwa kupambana na wenye mabavu ya fedha na hadhi.

12. Anahakikisha Watanzania wanapatiwa kipaumbele cha ajira kwenye miradi yote mikubwa ya Kiserikali ikiwemo ujenzi wa bomba la mafuta, ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge.

13. Serikali yake imeamuru kila Mwajiri kutoa mkataba wa ajira Watumishi wake waliifanya kazi ya kibarua kwa zaidi ya miezi sita pasipo kuajiriwa.

14. Anatoa magari ya wagonjwa (Amburance) kwa Wabunge mbalimbali wakapeleke kwenye majimbo yao zikasaidie Watu wanyonge kwenye maeneo yao.

15. Aliamuru Wafanyabiashara wa Kigoma Mjini wasilipishwe kodi ya vibanda ya Tsh. 50,000/= na badala yake walipe Tsh. 15,000/=.

Matendo haya yote na mengineyo yanatoa picha ya namna Rais Magufuli alivyoamua kuwa upande wa Watu wanyonge. ... Sisi Wananchi wa Tabaka la chini tunamwelewa sana Rais Dk. Magufuli.

*Tutaendelea Kumuunga Mkono Rais Magufuli*

*Shilatu E.J*
 
Jamani tuwe wakweli na waungwana!

Embu basi tutambue juhudi za Serikali ya Mh Magufuli. Rais anajitahidi sana. Mambo mengi sana mazuri anafanya vizuri sana.

Watumishi hewa OUT

Kazi hewa OUT

Mafisadi OUT

Vyeti feki OUT

Bank hewa OUT

Safari za ovyo nje ya nchi OUT

Maandamano na siasa za hovyo OUT

Ndege IN

Train ya mwendo kasi IN

Mradi mkubwa STRIGER'S Gorge IN

Kuchapa kazi IN

Heshima kazini IN

Uwajibikaji IN

Viwanda IN

Wasomi na vijana IN


Kama unabisha njoo na fact otherwise ukapimwe akili
 
Yani iko vizuri ile mbaya yani kama kuna mtu hajakuelewa hapa hata elewa tenaaa. Magufuli oyeeeeeeeee
 
Lumumba mnahaha kama mmekalia mwiba[emoji28]
 
Nonsense,
Hakuna
Ajira
Kupanda madaraja
Ongezeko la mishahara
Kushuka bei ya mazao hasa Mahindi na dengu
Ukanda na unyumbani
Watu kupunguzwa makazini
Uchumi hoi
Kodi juu
Mikopo ya Wanafunzi imepungua
Uminyaji wa demokrasia
Mauaji holela na kutekana
Bunge na mahakama kuwa chini ya ikulu
Umasikini umeongezeka.
 
OUT=Open University of Tanzania.
btw akili yangu haifanyi kazi vizuri sijanywa chai leo, mtoto niliyemtuma dukani kununua sukari alirudi baada ya kuambiwa nusu kilo sukari ni sh 1,200 nami nilimpa sh 1000 tu.
Nawaza jinsi ya kutumia hii elfu ili angalau nipate kitu cha kuweka kinywani mimi na huyu mtoto wangu.

Mazuri unayosifia yameenda chuo kikuu huria (OUT) hayajafika kwenye uchumi.
 
Enzi za shule ilikuwa kwenye mtihani ukikutana na swali "mention..." ni simple tu kwa kila aliyekariri points na wengi watajizolea marks hapo. Sasa ishu ni yale maswali ya "with vivid examples, mention and explain..." hapo wengi hukamatika hasa msahihishaji akiwa makini hajapiga kiroba.

Wewe ume "mention" tu uwashike viazi mbatata, ukiambiwa kueleza kwa mifano hai, sidhani kama utatetea hata point moja hapo
 
mboo ya mama ako wee, wasomi tumejazana mtaan hizo ajira kaztoa mama ako kwa baba ako usiku??,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…