Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Jamani tuwe wakweli na waungwana!
Embu basi tutambue juhudi za Serikali ya Mh Magufuli. Rais anajitahidi sana. Mambo mengi sana mazuri anafanya vizuri sana.
Naunga mkono hoja.
Tena nimependekeza, uchaguzi wa 2020, usifanyike, rais Magufuli aendelee tuu moja kwa moja, na 2020, kama miradi mikubwa ya SGR na Stiggler haijakamilika, then tumuongeze muda, tumpatie muda wa kutosha endelee tuu mpaka akamilishe kuifanya Tanzania ni nchi ya maziwa na asali.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P.
 
Uchwara IN
Busara OUT
Brain Zero IN
Intelligence OUT
 
OUT=Open University of Tanzania.
btw akili yangu haifanyi kazi vizuri sijanywa chai leo, mtoto niliyemtuma dukani kununua sukari alirudi baada ya kuambiwa nusu kilo sukari ni sh 1,200 nami nilimpa sh 1000 tu.
Nawaza jinsi ya kutumia hii elfu ili angalau nipate kitu cha kuweka kinywani mimi na huyu mtoto wangu.

Mazuri unayosifia yameenda chuo kikuu huria (OUT) hayajafika kwenye uchumi.
Weka chumvi kama sukari imekushinda
 
Naunga mkono hoja.
Tena nimependekeza, uchaguzi wa 2020, usifanyike, rais Magufuli aendelee tuu moja kwa moja, na 2020, kama miradi mikubwa ya SGR na Stiggler haijakamilika, then tumuongeze muda, tumpatie muda wa kutosha endelee tuu mpaka akamilishe kuifanya Tanzania ni nchi ya maziwa na asali.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P.
Mishahara hailipwi on time hiyo nchi yenye maziwa na asali itatoka wapi?
Acha ajineemeshe yeye huku akiwadanganya anabana matumizi
 
Jamani tuwe wakweli na waungwana!

Embu basi tutambue juhudi za Serikali ya Mh Magufuli. Rais anajitahidi sana. Mambo mengi sana mazuri anafanya vizuri sana.

Watumishi hewa OUT

Kazi hewa OUT

Mafisadi OUT

Vyeti feki OUT

Bank hewa OUT

Safari za ovyo nje ya nchi OUT

Maandamano na siasa za hovyo OUT

Ndege IN

Train ya mwendo kasi IN

Mradi mkubwa STRIGER'S Gorge IN

Kuchapa kazi IN

Heshima kazini IN

Uwajibikaji IN

Viwanda IN

Wasomi na vijana IN

Kama unabisha njoo na fact otherwise ukapimwe akili
Bashiteeeee, unajengewa mahekalu tu utaanzaje kuona ubovu wa DHALIMU la DHALIMU ?
 
Enzi za shule ilikuwa kwenye mtihani ukikutana na swali "mention..." ni simple tu kwa kila aliyekariri points na wengi watajizolea marks hapo. Sasa ishu ni yale maswali ya "with vivid examples, mention and explain..." hapo wengi hukamatika hasa msahihishaji akiwa makini hajapiga kiroba.

Wewe ume "mention" tu uwashike viazi mbatata, ukiambiwa kueleza kwa mifano hai, sidhani kama utatetea hata point moja hapo
Umetisha sana mkuu..good
 
OUT=Open University of Tanzania.
btw akili yangu haifanyi kazi vizuri sijanywa chai leo, mtoto niliyemtuma dukani kununua sukari alirudi baada ya kuambiwa nusu kilo sukari ni sh 1,200 nami nilimpa sh 1000 tu.
Nawaza jinsi ya kutumia hii elfu ili angalau nipate kitu cha kuweka kinywani mimi na huyu mtoto wangu.

Mazuri unayosifia yameenda chuo kikuu huria (OUT) hayajafika kwenye uchumi.
Nunua robo kilo acha ujuha wewe
 
Jamani tuwe wakweli na waungwana!

Embu basi tutambue juhudi za Serikali ya Mh Magufuli. Rais anajitahidi sana. Mambo mengi sana mazuri anafanya vizuri sana.

Watumishi hewa OUT

Kazi hewa OUT

Mafisadi OUT

Vyeti feki OUT

Bank hewa OUT

Safari za ovyo nje ya nchi OUT

Maandamano na siasa za hovyo OUT

Ndege IN

Train ya mwendo kasi IN

Mradi mkubwa STRIGER'S Gorge IN

Kuchapa kazi IN

Heshima kazini IN

Uwajibikaji IN

Viwanda IN

Wasomi na vijana IN

Kama unabisha njoo na fact otherwise ukapimwe akili
Wasomi na vijana in wapi??? Nawe upimwe akili kwa kuandika usichokijua
 
OUT=Open University of Tanzania.
btw akili yangu haifanyi kazi vizuri sijanywa chai leo, mtoto niliyemtuma dukani kununua sukari alirudi baada ya kuambiwa nusu kilo sukari ni sh 1,200 nami nilimpa sh 1000 tu.
Nawaza jinsi ya kutumia hii elfu ili angalau nipate kitu cha kuweka kinywani mimi na huyu mtoto wangu.

Mazuri unayosifia yameenda chuo kikuu huria (OUT) hayajafika kwenye uchumi.
Mkuu unga umeshuka bei. Hiyo hela nyingi sana!
 
Naunga mkono hoja.
Tena nimependekeza, uchaguzi wa 2020, usifanyike, rais Magufuli aendelee tuu moja kwa moja, na 2020, kama miradi mikubwa ya SGR na Stiggler haijakamilika, then tumuongeze muda, tumpatie muda wa kutosha endelee tuu mpaka akamilishe kuifanya Tanzania ni nchi ya maziwa na asali.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P.

Sikujuaga kama nawe unawazaga na tumbo hivi.

Pole.

Sina ninachoweza kukusaidia zaidi ya kukupa pole Tu.
 
Back
Top Bottom