Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hoja.Jamani tuwe wakweli na waungwana!
Embu basi tutambue juhudi za Serikali ya Mh Magufuli. Rais anajitahidi sana. Mambo mengi sana mazuri anafanya vizuri sana.
Tena nimependekeza, uchaguzi wa 2020, usifanyike, rais Magufuli aendelee tuu moja kwa moja, na 2020, kama miradi mikubwa ya SGR na Stiggler haijakamilika, then tumuongeze muda, tumpatie muda wa kutosha endelee tuu mpaka akamilishe kuifanya Tanzania ni nchi ya maziwa na asali.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P.