Hivi ndivyo Wajerumani walivyomuelezea Raisi wetu wa V Dr.Pombe Magufuli nanukuu
,,Workaholic, Perfectionist and Development Dictator"
Wajerumani wanaongea kiingereza? Bure kabisa
Tuwe na institutions imara ambapo kila mtanzania atakayechaguliwa ataweza kuongoza bila shida yoyote. Inashangaza sana watu wanaweka matumaini kwa mtu mmoja bila kujua akiondoka yeye watakuja wengine. Lets think outside the box.
Tanzania needs strong institutions not a strong man. I don't get you guys who think JPM will clear everything in this country. Look, we used to have strong men and women but what did they do? Come on Tanzanias lets first build strong institutions and policies....and not blah blah....
Okay. First and foremost, I didn't say he was going to clear everything, and I don't expect him to. With that cleared, now tell me Smartie, what are your suggestions to get where you think JPM can't take us?
And how are we gonna do that?First of all as a nation we need to be united and work together towards our goals because without unity we won't attain anything in a long run.....copy that? Secondly, as I said previously we need to build strong institutions and policies and not depend to a single man to save this nation. Last but not least we need to provide quality education to our people. I hope that help.
Hivi ndivyo Wajerumani walivyomuelezea Rais wetu wa V Dr.Pombe Magufuli nanukuu
,,Workaholic, Perfectionist and Development Dictator"
Mheshimiwa rais JPM atakuwa ndiye rais maarufu Afrika kuliko wote kuwahi tokea katika zama hizi mpya za mawasiliano ya kijamii.
Hii ilianza kuchochewa na jinsi Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2015 ulivyofuatiliwa na watu wengi Duniani ambapo "Tanzania Election 2015"ni moja ya neno lilotafutwa sana kupitia google search kwa miezi miwili iliyopita!!
BAADA YA UCHAGUZI: JOHN POMBE MAGUFULI
Kwa sasa haina ubishi ndie anaeongoza kwa kuandikwa sana na kufuatiliwa(trending) kuliko watu wote Afrika. Hii inatokana na siku chini ya 30 za Utawala wake kuonesha Afrika na watawala wake wanavyo weza kubana matumizi yasiyo ya lazima na kukuza uchumi..
* Amekuwa 'Inspirational" kwa vijana wengi afrika mashariki na kati na Afrika kwa ujumla kwenye mitandao tofautitofauti:
Hasa trending ya sasa maarufu yaTwitter:#WhatWouldMagufuliDo ?
Raia wengi afrika wanatamani kuwa na rais kama JPM...viva MGUFULI!!
Inakuwaje Magufuli anapongezwa tu na watu wa kawaida tofauti na viongozi wandamizi wa chama chake waliopo madarakani kwa sasa na hata wale waliostaafu?
Wako wapi hawa waheshimiwa viongozi wastaafu kuto walau neno la pongezi kwa mh.Magufuli?
1.Mh.Mkapa kimya!
2.Mh.Kikwete Kimya!
3.Mzee Mwinyi kimya!
4.Mzee Mangula kimya!
5.Mzee Msekwa kimya!
6.Mh.Karume kimya!
7.Mzee Bilal kimya!
8.Mawaziri wakuu wastaafu kimya!
9.Mawaziri wastaafu kimya!
10.Mama Makinda kimya!
11.Katibu Mkuu Kinana kimya!
12.Hivi hata chama nacho kimetoa kauli yoyote kweli?
Sisi wapinzani sawa,na nyie je?