Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mawaziri hua mbona hawana kazi.Hivi ni vyeo tu vyenye nia ya kulinda mamlaka ya chama.Makatibu wakuu wanatosha.Wapewe mamlaka tu.
Kwa tathmini Fupi tu Jeshi LA watu Wanne (Raisi, Waziri mkuu, spika na makamu WA raisi) linatosha. Hili Jeshi limeonyesha uwezo mkubwa Kwa Kipindi hiki kifupi Kwa kuweza kufukunyua Madudu yaliyolindwa na team Kubwa Ya Utawala uliopita. Kwa Haya machache napenda kutoa Maoni yangu kuwa Hakuna haja Ya mh. Raisi kuteua mawaziri. Haya Ndio maoni tangu.
 
Walikuwepo wakati wapinzani walipokuwa wanayapigia kelele wao wakwajibu kwa kebehi. Sasa baada yakuona kila mtu amewachoka ndip sada wameibuka. Yeyote utakayemuweka atafanya kama wanavyofanya. Hata mrudishe Jk atafanya kama wanavyofanya.
 
12241504_924725730952914_5020159503064892095_n.jpg
 
Kwa mbali namuona Mkwere akiandaa mkakati wa uhujumu kasii ya msukuma
 
Kwa mbali namuona Mkwere akiandaa mkakati wa uhujumu kasii ya msukuma

hata Mimi naona hiyo dalili.tusishangae siku tukiona post/sred za kina faiza foxy au Ritz wakikosoa harakati za mwanasisiemu mwenzao magufuli.

bado mpaka sasa sijaona wakionyesha mahaba yao kwa magufuli kama walivyo onyesha kwa Kikwete.
 
Mkuu baraza la mawaziri ni muhimu nchi hii ni kubwa watu wanne hawawezi kusimamia vyote
 
President John Magufuli is nicknamed 'The Bulldozer' for his no-nonsense, results-driven way of doing politics [Reuters]

Tanzania has banned government officials from sending Christmas and New Year cards paid for by public funds as part of cost-cutting measures introduced by the newly elected president.

President John Magufuli is nicknamed "The Bulldozer" for his no-nonsense, results-driven way of doing politics. He was elected in October as the East African country's new leader.

The president's chief secretary, Ombeni Yohana Sefue, issued a statement on Thursday that "prohibited the printing of Christmas and New Year cards at the government's expense".

"Anyone who wants to create or publish those cards should do so at his or her own expense," Sefue's statement said.
The public, which has long complained of government overspending, was quick to welcome the austerity measure imposed by the new president.

Social media hashtags such as #WhatWouldMagufuliDo have become top trending topics among Twitter and Facebook users in East Africa.
You just can't help but admire #Magufuli and his cost-cutting policy he's on in Tanzania, this will go along way in saving the economy.
? Kenya West? (@KinyanBoy) November 23, 2015

Tanzanian social media users called on the president to go further and to continue to introduce more cost-cutting measures.
#Magufuli keep going president .... you will definately change #Tanzania . NOTHING IS IMPOSSIBLE
? Huruma Kaaya (@hurumakaaya) November 23, 2015
Others went as far as saying Tanzania had turned the corner when it came to fighting graft and excess in the region.
#Magufuli has turned Tanzania into the coolest kid on the African block
? Daktari (@KyekueM) November 24, 2015
But most saw the funny side of the president's Ebenezer Scrooge-like austerity move ahead of Christmas.
My girlfriend wanted a valentines present. Asked myself #WhatWouldMagufuliDo so I cancelled valentines day. She left pic.twitter.com/kYedcmehQO
? Dave (@MyUglyMustache) November 26, 2015
I bet the Pope had a #WhatWouldMagufuliDo moment before deciding to ride in that simple Honda.
? Osir Ojok Odiambo Re (@OjokRe) November 26, 2015
i wanted a big cake for my wedding but then i asked myself, #whatwouldmagufulido
Posted by Eddy Dasilva Sebumba on Thursday, November 26, 2015

Since taking office on November 5 on the promise of curbing corruption and government waste, Magufuli has enforced drastic but widely welcomed belt-tightening measures.

The move comes a few days after the president cancelled the country's Independence Day celebrations, ordering that the public money for the festivities be spent instead on a clean-up campaign. Magufuli said it would be 'shameful' to spend vast sums on the celebration when "our people are dying of cholera".

The president last week ordered that money set aside for a party to inaugurate the opening of parliament should be used to buy hospital beds at one of the country's main medical centres after he made a surprise visit and found patients sleeping on the floor.

Magufuli earlier this month banned all but essential foreign trips by government officials, ordering them to spend more time in their constituencies to save funds.

The president also restricted first and business-class travel for all officials except the president, vice president, and prime minister.

Follow Hamza Mohamed on Twitter: @Hamza_Africa
Al Jazeera
 
Aise, sasa aje na huku kwetu maana huku ndio kumeoza kabisaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom