Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani....hakuna uozo ambao rais Dkt Magufuli ataufumbia macho. Hii nchi anaimudu. Hii nchi ina sheria nzuri sana, tatizo zilikosa msimamizi tu. Sasa msimamizi tunae na yupo very serious.
Usikurupuke bila tafakari,Tanesco bado wanaunganisha mitambo ya gesi kwenye gridi ya Taifa, sasa unataka JPM aingilie Ili UKAWA muanze kumsema anakurupuka au?
Aise, sasa aje na huku kwetu maana huku ndio kumeoza kabisaaaaaaa.
Du! Magufuli noma kwelikweli.
Jamani....hakuna uozo ambao rais Dkt Magufuli ataufumbia macho. Hii nchi anaimudu. Hii nchi ina sheria nzuri sana, tatizo zilikosa msimamizi tu. Sasa msimamizi tunae na yupo very serious.
Hio ni kutafuta umaarufu kirahisi, aende tanesco, umeme hakuna na alisema ya kwake itakuwa ya viwanda bila umeme vitaendeshwa na ziarab za kushtukiza, hio ni kukosa maarifa na ubunifu wa kazi, atengeneze mfumo wa lisheria
Magufuli mbona ni habari ya dunia sasa kama ilivyo ISIS
Aise, sasa aje na huku kwetu maana huku ndio kumeoza kabisaaaaaaa.
hayo ndio mabadiliko ya ukweli sio kuzungusha mikono na kuimba
Magufuli namba nyingine kabisa wala siyo ya kuchezewa kabisa wala haiwezi kulinganishwa na ukawa hata chembe.Yaani kila Kiki ya ukawa haipati media coverage maana mpaka Kenya habari ni magu viva baba magu
Hiyo pia haitafaa kitu labda wazungushe viuno kabisa.Kuzungisha mikono imeshindwa nadhani sasa inabidi wazungushe miguu
Kuzungisha mikono imeshindwa nadhani sasa inabidi wazungushe miguu