Hiyo pia haitafaa kitu labda wazungushe viuno kabisa.
Ikiwezekana wazungushe macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo pia haitafaa kitu labda wazungushe viuno kabisa.
Jamani....hakuna uozo ambao rais Dkt Magufuli ataufumbia macho. Hii nchi anaimudu. Hii nchi ina sheria nzuri sana, tatizo zilikosa msimamizi tu. Sasa msimamizi tunae na yupo very serious.
Du! Magufuli noma kwelikweli.
Nilikuwa na mpango wa kuhama hii nchi, but siondoki tena naona kabisa heshima inarudi..chezea JPM ww.!!
Kwakweli me binafsi najivunia kumpigia kura huyu jamaa daah!! ni noma ni hatariii aseee!!! mpaka nimeanza kuipenda nchi yangu Tz soon nitarudi home Tz
Tingatinga liko uwanjani!!
Naomba umuondoe NGUGAI, hana hadhi ya kuwapi kwenye hiyo list
hata Mimi naona hiyo dalili.tusishangae siku tukiona post/sred za kina faiza foxy au Ritz wakikosoa harakati za mwanasisiemu mwenzao magufuli.
bado mpaka sasa sijaona wakionyesha mahaba yao kwa magufuli kama walivyo onyesha kwa Kikwete.
Tatizo ni uhusiano uliopo wa kiimani kati ya Pope Francis na Ukatoliki..nafikiri umenielewa.
​acheni ujinga saa nyingine hata nchi kubwa kama marekani nayo inamawaziri sembuse tzMawaziri hua mbona hawana kazi.Hivi ni vyeo tu vyenye nia ya kulinda mamlaka ya chama.Makatibu wakuu wanatosha.Wapewe mamlaka tu.
Ni lazma tuibake Katiba na demokrasia kama Rwanda Dr Magufuli aendelee kuongoza nchi baada ya muda wake kuisha
Nyie ndio watu Dr Magufuli anawatafuta usanii usanii mwiingi
Eeeeh..Kama foward ya Barcelona..