Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa yangu vipi yani wewe ndiyo unapata tarifa sasa hivi pole sana.
Mkuu naheshimu sana maoni yako lakini tunapoandika mada tuangalia na katiba pamoja na sheria za nchi basi maana mawaziri wametajwa kisheria pia sasa anawezaje kuacha kuwateua?Kwa tathmini Fupi tu Jeshi LA watu Wanne (Raisi, Waziri mkuu, spika na makamu WA raisi) linatosha. Hili Jeshi limeonyesha uwezo mkubwa Kwa Kipindi hiki kifupi Kwa kuweza kufukunyua Madudu yaliyolindwa na team Kubwa Ya Utawala uliopita. Kwa Haya machache napenda kutoa Maoni yangu kuwa Hakuna haja Ya mh. Raisi kuteua mawaziri. Haya Ndio maoni tangu.
Unataka kusema ndicho alichokusudia mh rais???duuh aiseee hii safi wavaa vipedo mguu sawa!!!
Jamani....hakuna uozo ambao rais Dkt Magufuli ataufumbia macho. Hii nchi anaimudu. Hii nchi ina sheria nzuri sana, tatizo zilikosa msimamizi tu. Sasa msimamizi tunae na yupo very serious.
Me sipati picha kwakeli after 3 yrs nchi yetu itakuwa wapi ktk suala zima la uchumi. Mungu ibariki Tz Mungu mbariki Rais wetu JPM
Mkuu nchi kubwa hii!!
Jambo muhimu ni kuwa na mawaziri wenye muono ule ule wa Magufuli!
Mkuu kwa spidi hii tunakuwa level nyingine kiuchumi akyanani
Hio ni kutafuta umaarufu kirahisi, aende tanesco, umeme hakuna na alisema ya kwake itakuwa ya viwanda bila umeme vitaendeshwa na ziarab za kushtukiza, hio ni kukosa maarifa na ubunifu wa kazi, atengeneze mfumo wa lisheria
huyu jamaa miaka 3 akiwa hivi hivi basi tujiandae kunyoka bila kutumia rula.