Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

12311046_924775480947939_1570054348798976762_n.jpg
We jamaa yangu vipi yani wewe ndiyo unapata tarifa sasa hivi pole sana.
 
Kwa tathmini Fupi tu Jeshi LA watu Wanne (Raisi, Waziri mkuu, spika na makamu WA raisi) linatosha. Hili Jeshi limeonyesha uwezo mkubwa Kwa Kipindi hiki kifupi Kwa kuweza kufukunyua Madudu yaliyolindwa na team Kubwa Ya Utawala uliopita. Kwa Haya machache napenda kutoa Maoni yangu kuwa Hakuna haja Ya mh. Raisi kuteua mawaziri. Haya Ndio maoni tangu.
Mkuu naheshimu sana maoni yako lakini tunapoandika mada tuangalia na katiba pamoja na sheria za nchi basi maana mawaziri wametajwa kisheria pia sasa anawezaje kuacha kuwateua?
 
Hio ni kutafuta umaarufu kirahisi, aende tanesco, umeme hakuna na alisema ya kwake itakuwa ya viwanda bila umeme vitaendeshwa na ziarab za kushtukiza, hio ni kukosa maarifa na ubunifu wa kazi, atengeneze mfumo wa lisheria
 
Jamani....hakuna uozo ambao rais Dkt Magufuli ataufumbia macho. Hii nchi anaimudu. Hii nchi ina sheria nzuri sana, tatizo zilikosa msimamizi tu. Sasa msimamizi tunae na yupo very serious.

Kama msimamo wake ndo huu mwambie wananchi wake tunasema aliko tupo naye pamoja, PLUS tunamwombea kila siku
 
Mkuu nchi kubwa hii!!
Jambo muhimu ni kuwa na mawaziri wenye muono ule ule wa Magufuli!

Kweli kabisa. Kama kila waziri ataingia kwa staili hii, mambo mengi yatanyooka Tanzania.

Kama alivyosema, wawe wachache ili kuweza kuwadhibiti mchwa wakijitokeza.
 
Mkuu kwa spidi hii tunakuwa level nyingine kiuchumi akyanani

Kwakweli me binafsi najivunia kumpigia kura huyu jamaa daah!! ni noma ni hatariii aseee!!! mpaka nimeanza kuipenda nchi yangu Tz soon nitarudi home Tz
 
Hio ni kutafuta umaarufu kirahisi, aende tanesco, umeme hakuna na alisema ya kwake itakuwa ya viwanda bila umeme vitaendeshwa na ziarab za kushtukiza, hio ni kukosa maarifa na ubunifu wa kazi, atengeneze mfumo wa lisheria

Usikurupuke bila tafakari,Tanesco bado wanaunganisha mitambo ya gesi kwenye gridi ya Taifa, sasa unataka JPM aingilie Ili UKAWA muanze kumsema anakurupuka au?
 
Back
Top Bottom