Hivi ndivyo Wajerumani walivyomuelezea Raisi wetu wa V Dr.Pombe Magufuli nanukuu
,,Workaholic, Perfectionist and Development Dictator"
Katajwa na nani? Sisi tuko Ujerumani hatujasika akitajwa? Au umesoma kwenye Deutsche Welle?
Hao sio wajerumani, ni waandishi wa Tanzania wanaifanyiakazi tu sauti ya Ujerumani. Nitamshangaa sana Kiongozi wa Ujerumani atakaesema hivyo wakati wao wanaingia kazini saa 2 asubuhi wanatoka saa 12 jioni sisi Tanzania tunaaza kazi saa 4 asubuhi, ikifika saa 9 jioni ofissini hakuna mtu.