Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Raisi anafanya mambo mengi vizuri. Ila yale amabayo analalamikiwa ayafanyie kazi pia.
 
Mishahara hailipwi on time hiyo nchi yenye maziwa na asali itatoka wapi?
Acha ajineemeshe yeye huku akiwadanganya anabana matumizi
Unafanya kazi gani dada.
mshahara haujawahichelewa. wa mwezi huu tar 23 ulikuwa umeshaingia.
 
Maandamano ya ovyo yanapimwaje? siasa za ovyo ni zipi? Mani anaamua kuwa hayo ni maandamano na siasa za ovyo?

JPM amejitahidi sana kwenye maeneo mengi, tatizo ni kuminya demokrasia na hili linafanya juhudi zake nyinginezo kuonekana sio kitu na hilo ndio eneo amejikwaa na ndilo lenye gharama kubwa zaidi kwake.

Kuminya demkrasia na kudhibiti maoni ya watu ndio maadui wa Gaddafi walipatia upenyo ingawa aliifanyia Libya makubwa.

JPM ange-consentrate kupiga kazi na kuhakikisha sheria zinafuatwa wananchi tutaona matokeo ya juhudi zake, tutapima na kuamua nani wa kumsikiliza. Hao wanaosiasa wanaopiga kelele awaache, na maandamano yao wafanye mradi yawe ya amani, yakitokea maafa wawajibishwe na kushitakiwa. Nakuhakikishia watu watachoka wenyewe kuandamana. Hivi kuna siasa ngumu Afrika Mashariki kuliko za Kenya? Mbona wameandamana kwa amani hadi wamechoka?

Vv
 
Yale mapanga boi naonaga UN wakiwatupia chakula watu wa South Sudan ..bora ni drive 900 kms..siku yatazimika angani
 
**** ya mama ako wee, wasomi tumejazana mtaan hizo ajira kaztoa mama ako kwa baba ako usiku??,
Weka cv yako hapa tuone elimu yako mi nahisi umesomea matusi na serikali haina ajira za watukanaji nenda kabadili kozi uje uajiriwe lakini kwa sasa ajira za watukanaji ziko chadema na kkkt
 
Mishahara hailipwi on time hiyo nchi yenye maziwa na asali itatoka wapi?
Acha ajineemeshe yeye huku akiwadanganya anabana matumizi
Mambo mazuri hayataki haraka, subiria, 2020, utashuhudia Tanzania ya uchumi wa kati, Tanzania ya viwanda na uchumi wa gesi, utashuhudia mabomba yatatoa maziwa na asali, nchi mzima.

P
 
Hivi umeshirikisha ubongo wakati unaandika?, sasa kama yote hayo yapo situtakuwa tushaipita hata Marekani? Fikiri kwanza. Huyu hawezi kumaliza yote hayo labda apewe miaka 25 kuongoza lakini kwa 5 years ama 10 years hawezi kuwa keshatimiza hayo yote uliyoyataja brother.
 
Eti jama, ni kweli elfu 7, 7 zinalipwa kiukweli? Au ni namna ya kuwananga tu lumumba tu. Nna shida kweli sio masihara. Ni kwa muda tu waungwana kuna mishe flani ikitiki narudi kwenye mapambano.
 
Weka cv yako hapa tuone elimu yako mi nahisi umesomea matusi na serikali haina ajira za watukanaji nenda kabadili kozi uje uajiriwe lakini kwa sasa ajira za watukanaji ziko chadema na kkkt
mkuu usiiweke kkkt hapa, ntakuchefuaa,
 
Atakuwa na file mirembe huyu au anendelea na dozi c bure
 
Mwaka yupo na anaendelea na kazi yupo ubungo plaza
Pia hampend maendeleo ya wengne
 
Nimeona nipongeze ili uzi ukae walau hata nusu saa Mods wasiunganishe.Mimi ni mgumu sana kwenye kupongeza.Leo napongeza.Haya twende
1. Nipongeze kwa kuwa na Rais mwenye PhD ya korosho, ingawa elimu yake inatia mashaka makubwa kwenye maamuzi na hashauriki yaani jiwe(a stone). Ujuaji mwiiingi kumbe bure kabisa.
2.Nimpongeze kwa kuupata urais. Kila siku utasikia Mimi ndio rais! Mimi ndio rais wa nchi hii! Mimi ndio rais! Mimi ndio rais!. Ukiona baba kila siku anajitambulisha kwa watoto kuwa yeye ni baba, ujue huyu ni kanya boya.hahahaha
3. Nimpongeze sana Rais wangu kwa kujiita ni jiwe. Kwa kweli yeye jiwe hasa. Tulihitaji rais kwa bahat mbaya tumepata jiwe.Nafikiri hapa mmenielewa kwenye jiwe (a stone is a non living thing).
4.Nampongeza oooh! No nampa pole kwa legacy atakayoiacha baada ya kipindi chake. Atapewa kila aina ya majina.Hataishi kwa amani. Na wakat huo sijui atakua anauzia wapi sura. Tumepata jiwe linalopenda camera haswa.
5. Nampongeza kwa kuingia ofisini. Lakini ameshindwa kujua hitaji halisi la mtanzania.Hadi sasa sioni ni namna gani baada ya miaka 6 iliyobak Tz iwe nchi ya uchumi wa kati.Ameshindwa kuweka vipaumbele vya ukweli.Ameweka vipaumbele vya kiasa.
7.Endeleeni kumpongeza rais wetu jiwe(a stone is a non living thing)
 
Eu ndo wamewaambia hivo eti? Kwendeni zenu Ujerumani mkafanye kazi kwenye viwanda vya wazungu tuachieni bongo
 
CHEKI WANAVYOIGIZA.....

Naomba niwe mkweli kwenye hili...kati ya Wabunge niliokuwa nawaamini ni wajasiri mbele ya Jeshi la POLISI ni LEMA....ila leo kaniacha mdomo wazi...kwanini kanishtua...

Leo nilikuwa nategemea jamaa angekuwa mstari wa mbele pale kisutu kuwapa makamanda moyo...Lakini cha ajabu BAADA YA KUSIKIA ETI ANATAFUTWA KUUNGANISHWA NA KINA MBOWE jamaa akalala mbele sasa ili kuonyesha unafiki wake kwa makamanda waliopo uraiani aka ORGANIZE mpango wa kuomba kwenda kukutanisha wabunge wa UPINZANI kwenye ofisi za EU.....

Sasa hapa tujiulize kama LEMA tu tunaemuona ni KAKSI ndani ya CHADEMA kalikimbia JESHI LA POLISI tena kwa KUHISI anatafutwa JE NYIE WA..APUZI humu mna sapoti 26/04...Vpi mkikutana na POLISI siku hiyo?....ISIKIENI TU MAHABUSU hata KINA MBOWE wakitoka huko wanaweza wasiwavuje moyo makamnda lakini ndani ya NAFSI zao kamwe hawata taka thubutu kurudi huko ambapo juzi mpaka hyo tarehe 3 watakuwa wanaonja UCHUNGU WA MAHABUSU makusudi kabsa...NDIO MAANA LEMA amekuwa na heshima siku hizi mbele ya JESHI LA POLISI mmana hata kwa hisia tu huyo UVUNGUNI mwa EU...

Nawashauri tu wale marofa wenzangu msidanganywe na hawa kina LEMA leo wamewadhihilishia ya kuwa WAKIHARIBU wao wana sehemu pa kujifichia KWA WAZUNGU WAO..vipi kuhusu nyie mtajificha wapi?...Bila shaka mtakuwa na hiyo sehemu maalumu mkijilaumu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…