mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,063
- 1,456
Mimi nampongeza jiwe(a stone is a non living thing)Eu ndo wamewaambia hivo eti? Kwendeni zenu Ujerumani mkafanye kazi kwenye viwanda vya wazungu tuachieni bongo
Bangi mbaya sana,utakuta na wewe unalalamika hakuna uhuru wa kujieleza na kutoa maoniNimeona nipongeze ili uzi ukae walau hata nusu saa Mods wasiunganishe.Mimi ni mgumu sana kwenye kupongeza.Leo napongeza.Haya twende
1. Nipongeze kwa kuwa na Rais mwenye PhD ya korosho, ingawa elimu yake inatia mashaka makubwa kwenye maamuzi na hashauriki yaani jiwe(a stone). Ujuaji mwiiingi kumbe bure kabisa.
2.Nimpongeze kwa kuupata urais. Kila siku utasikia Mimi ndio rais! Mimi ndio rais wa nchi hii! Mimi ndio rais! Mimi ndio rais!. Ukiona baba kila siku anajitambulisha kwa watoto kuwa yeye ni baba, ujue huyu ni kanya boya.hahahaha
3. Nimpongeze sana Rais wangu kwa kujiita ni jiwe. Kwa kweli yeye jiwe hasa. Tulihitaji rais kwa bahat mbaya tumepata jiwe.Nafikiri hapa mmenielewa kwenye jiwe (a stone is a non living thing).
4.Nampongeza oooh! No nampa pole kwa legacy atakayoiacha baada ya kipindi chake. Atapewa kila aina ya majina.Hataishi kwa amani. Na wakat huo sijui atakua anauzia wapi sura. Tumepata jiwe linalopenda camera haswa.
5. Nampongeza kwa kuingia ofisini. Lakini ameshindwa kujua hitaji halisi la mtanzania.Hadi sasa sioni ni namna gani baada ya miaka 6 iliyobak Tz iwe nchi ya uchumi wa kati.Ameshindwa kuweka vipaumbele vya ukweli.Ameweka vipaumbele vya kiasa.
7.Endeleeni kumpongeza rais wetu jiwe(a stone is a non living thing)
Hahaha ngoja nicheke tu kwa pongezi hizi unafikiria uzi utaachwa ?Nimeona nipongeze ili uzi ukae walau hata nusu saa Mods wasiunganishe.Mimi ni mgumu sana kwenye kupongeza.Leo napongeza.Haya twende
1. Nipongeze kwa kuwa na Rais mwenye PhD ya korosho, ingawa elimu yake inatia mashaka makubwa kwenye maamuzi na hashauriki yaani jiwe(a stone). Ujuaji mwiiingi kumbe bure kabisa.
2.Nimpongeze kwa kuupata urais. Kila siku utasikia Mimi ndio rais! Mimi ndio rais wa nchi hii! Mimi ndio rais! Mimi ndio rais!. Ukiona baba kila siku anajitambulisha kwa watoto kuwa yeye ni baba, ujue huyu ni kanya boya.hahahaha
3. Nimpongeze sana Rais wangu kwa kujiita ni jiwe. Kwa kweli yeye jiwe hasa. Tulihitaji rais kwa bahat mbaya tumepata jiwe.Nafikiri hapa mmenielewa kwenye jiwe (a stone is a non living thing).
4.Nampongeza oooh! No nampa pole kwa legacy atakayoiacha baada ya kipindi chake. Atapewa kila aina ya majina.Hataishi kwa amani. Na wakat huo sijui atakua anauzia wapi sura. Tumepata jiwe linalopenda camera haswa.
5. Nampongeza kwa kuingia ofisini. Lakini ameshindwa kujua hitaji halisi la mtanzania.Hadi sasa sioni ni namna gani baada ya miaka 6 iliyobak Tz iwe nchi ya uchumi wa kati.Ameshindwa kuweka vipaumbele vya ukweli.Ameweka vipaumbele vya kiasa.
7.Endeleeni kumpongeza rais wetu jiwe(a stone is a non living thing)
View attachment 728957 CHEKI WANAVYOIGIZA.....
Naomba niwe mkweli kwenye hili...kati ya Wabunge niliokuwa nawaamini ni wajasiri mbele ya Jeshi la POLISI ni LEMA....ila leo kaniacha mdomo wazi...kwanini kanishtua...
Leo nilikuwa nategemea jamaa angekuwa mstari wa mbele pale kisutu kuwapa makamanda moyo...Lakini cha ajabu BAADA YA KUSIKIA ETI ANATAFUTWA KUUNGANISHWA NA KINA MBOWE jamaa akalala mbele sasa ili kuonyesha unafiki wake kwa makamanda waliopo uraiani aka ORGANIZE mpango wa kuomba kwenda kukutanisha wabunge wa UPINZANI kwenye ofisi za EU.....
Sasa hapa tujiulize kama LEMA tu tunaemuona ni KAKSI ndani ya CHADEMA kalikimbia JESHI LA POLISI tena kwa KUHISI anatafutwa JE NYIE WA..APUZI humu mna sapoti 26/04...Vpi mkikutana na POLISI siku hiyo?....ISIKIENI TU MAHABUSU hata KINA MBOWE wakitoka huko wanaweza wasiwavuje moyo makamnda lakini ndani ya NAFSI zao kamwe hawata taka thubutu kurudi huko ambapo juzi mpaka hyo tarehe 3 watakuwa wanaonja UCHUNGU WA MAHABUSU makusudi kabsa...NDIO MAANA LEMA amekuwa na heshima siku hizi mbele ya JESHI LA POLISI mmana hata kwa hisia tu huyo UVUNGUNI mwa EU...
Nawashauri tu wale marofa wenzangu msidanganywe na hawa kina LEMA leo wamewadhihilishia ya kuwa WAKIHARIBU wao wana sehemu pa kujifichia KWA WAZUNGU WAO..vipi kuhusu nyie mtajificha wapi?...Bila shaka mtakuwa na hiyo sehemu maalumu mkijilaumu....
MfyuuuuView attachment 728957 CHEKI WANAVYOIGIZA.....

Hawa ni vijana wa jiwe wavuruga mijadala.wako wengi sana humu JF pia wanalipwaKwa nini usianzishe thread yako? Unachanganya mada sasa
Endelea kuogopa , kuna mijamaa mibabe imeanza kunyanganya chochote ulichonacho.View attachment 728957 CHEKI WANAVYOIGIZA.....
Naomba niwe mkweli kwenye hili...kati ya Wabunge niliokuwa nawaamini ni wajasiri mbele ya Jeshi la POLISI ni LEMA....ila leo kaniacha mdomo wazi...kwanini kanishtua...
Leo nilikuwa nategemea jamaa angekuwa mstari wa mbele pale kisutu kuwapa makamanda moyo...Lakini cha ajabu BAADA YA KUSIKIA ETI ANATAFUTWA KUUNGANISHWA NA KINA MBOWE jamaa akalala mbele sasa ili kuonyesha unafiki wake kwa makamanda waliopo uraiani aka ORGANIZE mpango wa kuomba kwenda kukutanisha wabunge wa UPINZANI kwenye ofisi za EU.....
Sasa hapa tujiulize kama LEMA tu tunaemuona ni KAKSI ndani ya CHADEMA kalikimbia JESHI LA POLISI tena kwa KUHISI anatafutwa JE NYIE WA..APUZI humu mna sapoti 26/04...Vpi mkikutana na POLISI siku hiyo?....ISIKIENI TU MAHABUSU hata KINA MBOWE wakitoka huko wanaweza wasiwavuje moyo makamnda lakini ndani ya NAFSI zao kamwe hawata taka thubutu kurudi huko ambapo juzi mpaka hyo tarehe 3 watakuwa wanaonja UCHUNGU WA MAHABUSU makusudi kabsa...NDIO MAANA LEMA amekuwa na heshima siku hizi mbele ya JESHI LA POLISI mmana hata kwa hisia tu huyo UVUNGUNI mwa EU...
Nawashauri tu wale marofa wenzangu msidanganywe na hawa kina LEMA leo wamewadhihilishia ya kuwa WAKIHARIBU wao wana sehemu pa kujifichia KWA WAZUNGU WAO..vipi kuhusu nyie mtajificha wapi?...Bila shaka mtakuwa na hiyo sehemu maalumu mkijilaumu....
Anzisha naweww uzi wako , lipongeze jiweKwa akili zako mtoa mada, inaonesha bado una safari ndefu sana kujikomboa kifikra.
Hivi ni nchi gani unaweza toa upuuzi huu na ukaangaliwa tu?
Nafurahi kusema kwa hakika kuwa Tanzania mpaka sasa ilishavuka vikwazo vyote. Tanzania ya sasa inajitambua. Wezi wote na mafisadi wanaogopa kuiba (siyo kama enzi zile). Nchi sasa imetulia. Vikundi vya kiharifu (vya kisiasa, dini etc) vinajitahidi kupiga kelele ili inchi irudi kwenye mfumo wa kifisadi, ila serikali imekaza. Mungu ambariki sana Dkt Magufuli.