Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Malipo yake ni watanzania kuomba mungu ampende zaidi kabla 2020 ili akaongoze maraika huko wamsukumizie kwenye moto huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata Mao tse Tung wakati wa kuintransform China alipingwa sana, lakin ndo kaileta china hapa ilipo.
MJOMBA WEWE PIGA KAZI.
 
Atalipwa chato international airport na atapewa BASHITE ili amsaidia kupiga diri ktk hiyo miradi yote ya kifisadi.....mbwa kabisa anaharibu nchi
 
Kubwa la majizi hili linastahili kuwa jela kwa miaka mingi sana kwa ujambazi na ufisadi alioufanya dhidi ya Watanzania


 
Reactions: PNC
Kweli kabisa... maana
Bilioni 1500 yeye
TRA mapato hewa yeye
Ndo madhara ya mapato hewa kupika data sasa kwenye Vitabu hali halisi 1.5 haionekani na majibu hawana, huwezi pika hewa kila sehemu. Wangesema mapato halisi haya ya 1.5 yasingekuwepo
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
Sio ishu anaweza ingia yeyote na asiheshimu,mpya ni sawa,kuifuata ni kitu kingine pia anaweza akagoma kuachia Madaraka akitokea mwenye dhamira hio
 
faler wewe
 
Reactions: BAK
Hata Mao tse Tung wakati wa kuintransform China alipingwa sana, lakin ndo kaileta china hapa ilipo.
MJOMBA WEWE PIGA KAZI.
China hakuna ufisadi wala hati chafu kule elewa hakuna wa kuchezea hela za umma kifo kinamhusu hata awe kiongozi
 
Reactions: BAK

Mpe ma.vi
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…