Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,510
Unauliza tutamlipa nini? Mwenzio keshajilipa mapema 1.5tri si haba.Watanzania tutakulipa nini?
Reli ya kisasa... wewe
Kinyerezi two... wewe
Bombardier....wewe
Kuhamia Dodoma...wewe
Ubungo interchange project....wewe
Bomba la gesi.....wewe.
ukuta mererani ...wewe
Fly over....wewe
"Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"
Kura yangu 2020 ni kwa Dk.John pombe Joseph Magufuli.View attachment 754685