Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kibaya chajitembeza.

Hatununui ng'ooooòoooooo.
Mkafie huko huko lumumba.
 
Reactions: BAK
Haya kachukue buku 7 yako mmeshikwa pabaya mnaweza hata kuchanganyikiwa
Hakuna wa kuongwa kwa sasa bandugu. Madiwani zaidi ya 70 mmesema wameongwa mna ushahidi sijui mmeishia wapi??!!!!! Vijana wengi wanaojitambua kwa sasa wamejaa uzalendo wa kweli nakuhakikishia. Watamlinda na kumtetea rais wao kipenzi kwa namna yoyote ile dhidi ya wafitini na mabaradhuli wasiojitambua juu ya taifa lao.
 
Kwendraaaaaaa na ujinga wako
 
Tumekusikia Catherine Magige
 
This time we will fight for our president![emoji106]
 
Wenye vyeti feki.....wauza unga....wapiga dili....Pimbi & nyumbu utawajua kwa comment zao!
 
Waselavi kama hawa ndio wanaomtia kichwa rais
Yani mi natamani ajue kiasi gani watu wengi tuko nae na daima tutakuwa pamoja naye hivyo asitetereke kwa namna yoyote ile na vizabizabina wenye chokochoko na chuki tu dhidi ya taifa lao wasiolitakia mema wala mini. Akaze buti na aongeze zaidi maana naona kama amepooza sana siku hizi. Piga kazi baba JPM tendea haki kura zetu za juani na mvuani baba. Taifa litasonga tu watake wasitake. Asiyekukubali akiona inamkera aende tu kwa dada yake mange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…