Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sogezeni makalio yenu mtajua kilichomtoa kanga manyoya!
Wewe hayo makalio yenu tutayachanja na nyembe! coz hamufahamu hata freedom fighting. We are fighting for our basic freedoms, unamtisha nani tumbiri wewe?[HASHTAG]#jingakabisa[/HASHTAG]
 
Wanataka kufunga mitandao ya kijamii sana sana Jf.
Utakuja kumsia huyu poyoyo wapi?
 
Majungu,uzushi,porojo na takataka kibao. Aibu walionayo sasa wamegeuza gia maisha yako hatarini kutuondoa kwenye uzushi kutupeleka kwenye hofu ya movie. Kila movie mtatoa lakini mwamba anapiga kazi. Upigaji dili haurudi kamwe. Kuleni mapesa ya wakoloni mamboleo tuko imara kumlinda
Kwenye mgao wa 1.5tr+, we unapambania buku 7 tu?
 
Unasema Upigaji dili haurudi kamwe, Bilioni 1500 zipo wapi? Hata kama wamechukua CHADEMA sema tu... Maana ndo zenu
Kaulize alizolipwa mwenye chama kwanza hizi tayari maelezo tunangoja huko na mkimjaribu mwenye chama yatakukumba ya kina Chacha Wangwe.
 
M
Unasema Upigaji dili haurudi kamwe, Bilioni 1500 zipo wapi? Hata kama wamechukua CHADEMA sema tu... Maana ndo zenu
Majibu tayari ila alizolipwa mwenye chama mabilion hatujapata ripoti na ajaribu mtu kuhoji kama hayajamkuta ya Chacha Wangwe
 
Kajambe Ukalale...andiko lako limejaa mahaba,uongo,unafiki,ufitinishaji na kujipendekeza,yote uliyoyaandika yanahubiriwa tu na serikali kwenye media na mikutano ya kisiasa,kiuhalisia hakuna lolote lililofanikiwa hata kwa 10%,raia hasa wasio na elimu wanaaminishwa kwa kutumia nguvu kubwa ya kwamba nchi inakwenda vizur,uchumi unakua na mengne mazur bt kiuhalisia hali ni mbaya almost kila eneo.
 
Magufuli kanyaga twende!
Hata mimi naunga mkono hoja. Ila tu namwomba Rais wetu chonde chonde asiingie dili yeyote na wakenya. Wakenya wanabebwa na nchi za kibepari ambao hawataki kuona nchi kama Tanzania ina endelea. Nchi hizo zikiwa Ujerumani, Ubelgiji, Uholanzi, Ufaransa na Amerika.

Hizi nchi kama Cyprin Musiba anavyo wataadharisha hazitutakii mema na Kenya ndiyo kidampa wao.

Hizi nchi zina chuki na sisi kwa kwa mafanikio ambayo Mwalim Nyerere ameyapata ya kutuweka sisi pamoja.

Sijui kama kuna nchi nyingine ambayo Oma makabila mengi kama Tanzania.

Kwa hali hiyo wakenya wako tayari mda wowote kuwaujumu waafrika wenzao hasa Tanzania maadam wao ananufaika na misifa inayo pewa na mabepari hao wanao wa-support.

Toka kuvunjika kwa East African Community na msaada wao kwa Idi Amin Dada sina imani na wakenya hata kidogo.

Nimetafakari sana kwa nini kitu kama hicho kilotokea. Nasikitika sijapata jibu mpaka leo. Nina uhakika mkubwa kuwa wakenya sio wenyewe walitaka iwe hivyo ila kuna mataifa yaliwa shawishi. Hasa hasa Amerika na UK wakishirikiana na wajerumani.
 
Back
Top Bottom