Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti chaguo la Mungu,ungeandika chaguo la Lucufa ungeeleweka sana,Tanzania ina mkosi mno kuwa na jitu la hovyo kama magufuli,ni bora angekufa akiwa mchanga watu wasingeteseka na kuuawa hivi.*Na Emmanuel J. Shilatu*
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli (JPM) ni zawadi tuliyopewa Watanzania toka kwa Mwenyezi Mungu ndio maana siku.
Tangu awali JPM ameonyesha alianza na Mungu, anamtumainia Mungu na atamaliza na Mungu licha ya vikwazo na majaribu yote anayopitia.
*Baadhi ya Mambo yanayoonyesha JPM ni chaguo la Mungu ni:-*
1. UCHAGUZI MKUU 2015; Mojawapo kati ya watia nia waliokuwa hawana Wafuasi, mbwembwe, makando kando ni Dk. Magufuli. Hakuwa mgombea mwenye mtandao ndani na nje ya chama, hakuwa na uwezo wa kifedha, hakuna na wafuasi wengi kama walivyokuwa wagombea wengine lakini pasipo matarajio akapita vikwazo vyote, viunzi vyote na hatimaye Nov 5, 2015 akaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kupitia Dk. Magufuli wengi walijifunza kuwa Mwenyezi Mungu akitaka kukupa mja wake wala hautumii nguvu.
2. UKUTA; Hii ilikuwa harakati iliyosukwa na Wapinzani kuhakikisha wanampinga Rais Magufuli kupitia mwamvuli wa wanachoamini ni udikteta.
Walijipanga kumpinga kupitia maandamano makubwa nchi nzima lakini ajabu yake hao hao walioanzisha harakati hiyo ndip hao hao waliyafuta maandamano. Jibi likawa rahisi kwa Watanzania walio wengi kuamini hayakuwa mapambano ya kupinga udikteta nchini ndio maana yaliweza kuyeyuka.
Kelele za maandamano zilikuwa kubwa mno kiasi wasiomtakia mema JPM, wasioitakia mema Tanzania wakajua wametunasa kwenye mtego wa machafuko, lakini liliyeyuka, likapita na kufutika kabisa.
3. KUSUSIA UCHAGUZI; Vyama vya upinzani viliamua kususia marudio ya chaguzi ndogo ili kupeleka salaam Dunia kuwa Tanzania hakuna Demokrasia, hakuna chaguzi huru na haki. Lengo kuu ni kumchafua Rais Magufuli na Serikali yake.
Ajabu yake, walisusa raundi moja, uchaguzi mwingine mdogo ulipoitishwa vyama vyote vya upinzani vile vile vilivyosusia uchaguzi wa awali walikimbilia fomu na hatimaye wakasimamisha wagombea pasipo madai yao ya msingi ya awali kutatuliwa, pasipo kufanyika kikao chochote kile cha kuonyesha walikutana na mamlaka na kuamua kwa pamoja kurudi kushiriki.
Kitendo cha wao kushiriki tena uchaguzi waliamua kusafisha anga kuwaadai ya Tanzania kukosa demokrasia, kutokuwa na chaguzi na tume huru hayakuwa ya kweli bali walikuwa na malengo NDANPyao machafu dhidi ya Rais Magufuli na Serikali yake.
4. MAANDAMANO YA 26/04/2018; Takribani mwaka mzima kulikuwa na uratibu wa kuandaa maandamano kwa ajili ya kumpinga Rais Magufuli na waratibu hao walifika mbali zaidi wakidai April 26 ni lazima Rais Magufuli atoke madarakani!
Uratibu huo ulikuwa ukifanyika kupitia mitandao ya kijamii na walihimiza Watanzania popote pale walipo Duniani wajitokeze hadharani kuandamana ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani.
Siku ya siku ikafika, Watu waliondamana nje ya Tanzania hawakufika hata 15 na ndani ya nchi ya Tanzania hakuna hata mmoja aliyeandamana. Huu ni ushindi mwingine kwa Rais Magufuli, ni ushindi wa kishindo kwa Watanzania.
*Kwanini kila jambo la shinikizo linashindwa kufaulu?*
Tumeshuhudia kushindwa kwa Ukuta, kushindwa kwa maandamano ya April 26, tumeshuhudia kushindwa kwa kila aina ya mapandikizo ya chuki kwa Watanzania dhidi ya Rais Magufuli.
Sababu za kushindwa kufaulu ni kwa Watanzania:-
1. Kuridhishwa na utendaji wa Rais Magufuli
2. Kuridhishwa na kiwango cha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi unaofanywa na Serikali ya Rais Magufuli.
3. Kuridhishwa na kiwango cha kuheshimu na kulinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
4. Kuridhishwa na kiwango cha utawala bora.
5. Kuridhishwa na kiwango cha uhuru wa kidemokrasia.
6. Kuridhishwa na kiwango cha ulindwaji wa Haki za Binadamu
7. Kuridhishwa na kiwango cha hali ya ulinzi na usalama wa nchi.
8. Kuridhishwa na kiwango cha mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi nchini.
9. Kuridhishwa na kiwango cha ulinzi wa mali na rasilimali za Taifa.
10. Kuridhishwa na kiwango cha usimamizi wa mapato na matumizi hali iliyopelekea Serikali kupata hati safi kwa kiwango cha asilimia 90.
Hayo ni baadhi tu ya mambo yanayowafanya Watanzania kumuunga mkono na kuwa upande wa Rais Magufuli dhidi ya yale anayoyafanya.
Kwa kipindi kifupi kabisa Rais Magufuli amedhihirisha Uzalendo, Uchapakazi, Ushujaa na Ujenzi imara kwa Taifa. Hakika, Dk. Magufuli ni Rais bora wa kipindi chote.
Ndani ya kipindi kifupi Watanzania tunaona matunda ya Matokeo chanyA+ ya utendaji kazi uliotukuka wa Serikali ya Rais Magufuli.
*Mungu Ibariki Tanzania*
*Mungu Mbariki Rais Magufuli*
*Shilatu E.J*
Duh, hii sasa ni zaidi ya kufuru! Hata Hitler mwenyewe hakupigiwa goti na kama kweli unaamini Mungu yupo, ungama uweze kupata wokovu.Kwa Magufuli kila goti litapigwa.
*Na Emmanuel J. Shilatu*

Eti Strongman? Kuna kiongozi muoga kama huyu? Kiongozi mwenye kujiamini hawezi kutumia nguvu nyingi kwa kujaribu kunyamazisha wanae mkosoa, kiongozi mwenye ushujaa wakutosha hawezi kubwabwaja kisa mwanamke anaandika kuhusu maandamano mitandaoni, kiongozi mwerevu hawezi kuogopa kukosolewa, kongozi anaogopa hata kusafiri akihisi atapinduliwa, na viongozi waoga ndio mwisho huwa Madikteta kwa kuwa wanaogopa wakitoka madarakani wanaweza wakasulubiwa.Tanzania ilihitaji kiongozi wa aina hii (Strongman) katika kuipeleka nchi kwenye uchumi imara na wa uhakika. Watanzania lazima wafanye kazi badala ya kushinda kwenye mitandao na blah blah blah nyingi.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu mlinde na kumbariki Rais Magufuli.
NakaziaKikwete aliposema maisha Bora kwa Kila Mtanzania hatukumuelewa. Leo hii tumerudi nyuma sana kimaendeleo.
Maisha yamedorora.
Hakika Kikwete kweli wewe ndio ulikuwa chaguo la Mungu
Strongman ni kuiba pesa za Umma kupitia tenda mbalimbali? wafanye kazi zipi? Kushinda kwenye mitandao ipi? Pesa zote Trillion 1.5 mmeziiba hutaki wakae kwenye mitandao kuwajuliaha watanzania juu ya wizi wenu? Ujue CCM mnawadharau watanzania kwa kiasi cha kutisha , ipo siku mtajutia dharau zenuTanzania ilihitaji kiongozi wa aina hii (Strongman) katika kuipeleka nchi kwenye uchumi imara na wa uhakika. Watanzania lazima wafanye kazi badala ya kushinda kwenye mitandao na blah blah blah nyingi.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu mlinde na kumbariki Rais Magufuli.
Wote yeye na Maliyamungu Bashite ni chaguo la shetaniLabda chaguo la mungu wa dar
Ni chaguo la watu wasiojulikana pia ni chaguo la wale wanaonufaika kupitia Udikteta wake wa kishetani.Sio chaguo la Mungu sema labda chaguo lako mkuu mnajitahidi kumbeba lakini habebeki
NakaziaNi chaguo la watu wasiojulikana pia ni chaguo la wale wanaonufaika kupitia Udikteta wake wa kishetani.
Kwahiyo sera zingine ndio maana gas project tumeitelekeza [emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza ukawa katika system, lakini una mtazamo mwingine.
Mkuu fafanua vizuri ni chaguo la Mungu yupi? Jaribu kurejea kauli zako na matendo yako ambayo tumesikia na kushuhudia.*Na Emmanuel J. Shilatu*
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli (JPM) ni zawadi tuliyopewa Watanzania toka kwa Mwenyezi Mungu ndio maana siku.
Tangu awali JPM ameonyesha alianza na Mungu, anamtumainia Mungu na atamaliza na Mungu licha ya vikwazo na majaribu yote anayopitia.
*Baadhi ya Mambo yanayoonyesha JPM ni chaguo la Mungu ni:-*
1. UCHAGUZI MKUU 2015; Mojawapo kati ya watia nia waliokuwa hawana Wafuasi, mbwembwe, makando kando ni Dk. Magufuli. Hakuwa mgombea mwenye mtandao ndani na nje ya chama, hakuwa na uwezo wa kifedha, hakuna na wafuasi wengi kama walivyokuwa wagombea wengine lakini pasipo matarajio akapita vikwazo vyote, viunzi vyote na hatimaye Nov 5, 2015 akaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kupitia Dk. Magufuli wengi walijifunza kuwa Mwenyezi Mungu akitaka kukupa mja wake wala hautumii nguvu.
2. UKUTA; Hii ilikuwa harakati iliyosukwa na Wapinzani kuhakikisha wanampinga Rais Magufuli kupitia mwamvuli wa wanachoamini ni udikteta.
Walijipanga kumpinga kupitia maandamano makubwa nchi nzima lakini ajabu yake hao hao walioanzisha harakati hiyo ndip hao hao waliyafuta maandamano. Jibi likawa rahisi kwa Watanzania walio wengi kuamini hayakuwa mapambano ya kupinga udikteta nchini ndio maana yaliweza kuyeyuka.
Kelele za maandamano zilikuwa kubwa mno kiasi wasiomtakia mema JPM, wasioitakia mema Tanzania wakajua wametunasa kwenye mtego wa machafuko, lakini liliyeyuka, likapita na kufutika kabisa.
3. KUSUSIA UCHAGUZI; Vyama vya upinzani viliamua kususia marudio ya chaguzi ndogo ili kupeleka salaam Dunia kuwa Tanzania hakuna Demokrasia, hakuna chaguzi huru na haki. Lengo kuu ni kumchafua Rais Magufuli na Serikali yake.
Ajabu yake, walisusa raundi moja, uchaguzi mwingine mdogo ulipoitishwa vyama vyote vya upinzani vile vile vilivyosusia uchaguzi wa awali walikimbilia fomu na hatimaye wakasimamisha wagombea pasipo madai yao ya msingi ya awali kutatuliwa, pasipo kufanyika kikao chochote kile cha kuonyesha walikutana na mamlaka na kuamua kwa pamoja kurudi kushiriki.
Kitendo cha wao kushiriki tena uchaguzi waliamua kusafisha anga kuwaadai ya Tanzania kukosa demokrasia, kutokuwa na chaguzi na tume huru hayakuwa ya kweli bali walikuwa na malengo NDANPyao machafu dhidi ya Rais Magufuli na Serikali yake.
4. MAANDAMANO YA 26/04/2018; Takribani mwaka mzima kulikuwa na uratibu wa kuandaa maandamano kwa ajili ya kumpinga Rais Magufuli na waratibu hao walifika mbali zaidi wakidai April 26 ni lazima Rais Magufuli atoke madarakani!
Uratibu huo ulikuwa ukifanyika kupitia mitandao ya kijamii na walihimiza Watanzania popote pale walipo Duniani wajitokeze hadharani kuandamana ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani.
Siku ya siku ikafika, Watu waliondamana nje ya Tanzania hawakufika hata 15 na ndani ya nchi ya Tanzania hakuna hata mmoja aliyeandamana. Huu ni ushindi mwingine kwa Rais Magufuli, ni ushindi wa kishindo kwa Watanzania.
*Kwanini kila jambo la shinikizo linashindwa kufaulu?*
Tumeshuhudia kushindwa kwa Ukuta, kushindwa kwa maandamano ya April 26, tumeshuhudia kushindwa kwa kila aina ya mapandikizo ya chuki kwa Watanzania dhidi ya Rais Magufuli.
Sababu za kushindwa kufaulu ni kwa Watanzania:-
1. Kuridhishwa na utendaji wa Rais Magufuli
2. Kuridhishwa na kiwango cha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi unaofanywa na Serikali ya Rais Magufuli.
3. Kuridhishwa na kiwango cha kuheshimu na kulinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
4. Kuridhishwa na kiwango cha utawala bora.
5. Kuridhishwa na kiwango cha uhuru wa kidemokrasia.
6. Kuridhishwa na kiwango cha ulindwaji wa Haki za Binadamu
7. Kuridhishwa na kiwango cha hali ya ulinzi na usalama wa nchi.
8. Kuridhishwa na kiwango cha mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi nchini.
9. Kuridhishwa na kiwango cha ulinzi wa mali na rasilimali za Taifa.
10. Kuridhishwa na kiwango cha usimamizi wa mapato na matumizi hali iliyopelekea Serikali kupata hati safi kwa kiwango cha asilimia 90.
Hayo ni baadhi tu ya mambo yanayowafanya Watanzania kumuunga mkono na kuwa upande wa Rais Magufuli dhidi ya yale anayoyafanya.
Kwa kipindi kifupi kabisa Rais Magufuli amedhihirisha Uzalendo, Uchapakazi, Ushujaa na Ujenzi imara kwa Taifa. Hakika, Dk. Magufuli ni Rais bora wa kipindi chote.
Ndani ya kipindi kifupi Watanzania tunaona matunda ya Matokeo chanyA+ ya utendaji kazi uliotukuka wa Serikali ya Rais Magufuli.
*Mungu Ibariki Tanzania*
*Mungu Mbariki Rais Magufuli*
*Shilatu E.J*
Hayo maisha bora mliyapata au iliishia maneno tu ya wanasiasa?Kikwete aliposema maisha Bora kwa Kila Mtanzania hatukumuelewa. Leo hii tumerudi nyuma sana kimaendeleo.
Maisha yamedorora.
Hakika Kikwete kweli wewe ndio ulikuwa chaguo la Mungu
Ni ukweli usiopingika Rais Magufuli ni zawadi kutoka kwa Mungu baadhi ya watu wataelewa hili badae sana.*Na Emmanuel J. Shilatu*

tuliyapata Na tuliyafaidi haswaaaaHayo maisha bora mliyapata au iliishia maneno tu ya wanasiasa?