Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sisi tunaongozwa na huyu .

Nyie wenye akili za kushikiwa mnaongozwa na yule mama mvuta bangi wa USA.
Mr President JPM yupo na ataendelea kuwapo

Mmeisha mpaka mnamtegemea mwehu labda atawasaidia?!!!!!!!!!!!
 
Attachments

  • FB_IMG_1490531291647.jpg
    FB_IMG_1490531291647.jpg
    16.9 KB · Views: 25
  • FB_IMG_1476177041701.jpg
    FB_IMG_1476177041701.jpg
    8.3 KB · Views: 24
  • FB_IMG_1480175573664.jpg
    FB_IMG_1480175573664.jpg
    25.9 KB · Views: 25
habari wadau..

nakumbuka awamu ya jk jinsi tatizo la foleni dar lilivyokuwa kubwa.. hadi wanasiasa wakiongozwa na lowassa kutumia foleni kama mtaji wa kushawishi kushinda uchaguzi...

magufuli akuliongelea hili sana.. ila anamaliza foleni kwa vitendo..

kahamishia watu dodoma.. then anabana magendo watu wanakosa hela ya mafuta... foleni inaelekea kuwa kwishney
 
Wanakosa pesa ya mafuta! Is this achievement?
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Magufuli skips UN General Assembly, once again
 
Sisi tunaongozwa na huyu .

Nyie wenye akili za kushikiwa mnaongozwa na yule mama mvuta bangi wa USA.
Mr President JPM yupo na ataendelea kuwapo

Mmeisha mpaka mnamtegemea mwehu labda atawasaidia?!!!!!!!!!!!
Bila babu wa loliondo kutibia UBONGO !![emoji87] [emoji196] [emoji85]
images%20(1).jpeg
images.jpeg
unnamed.jpg
 
Unajuwa kuna vitu vyakuvibeza ila sio serikali hii kwakweli.
Vile tunawaza vile tunatenda nakufikiri eti kuna siku mambo yatabadilika ndugu yangu nakuapia unapoteza muda.

Zile zama zakula nakuwatupia makombo masikin zimekwisha. Mh Rais Dr Magufuli katuamsha watanzania na sasa watanzania wameshajuwa kwa pamoja wanaweza pasipo tegemea hisan ya mabepari wa chache wa uchumi.

Mh Rais amesha anza kutoatunda la uchum mzur kwa tanzania kwa kuhakikisha kila mtu analipa kodi nakuwa na mapenz mema na taifa lake.

Maandamano yakipumbavu ya Mange yamekuwa aibu kubwa kwake wala sitak kusema neno. Dunia yote imejuwa ukwel kuwa huyu Rais anapendwa kila mahali tumeona vile imekuwa aibu kwa mange nadhani inatosha sasa watu wamejuwa ukweli.
Sisi tunauwona moto moto usio zimika ndani ya watanzania baada ya mkuu wataifa kuwasha huu moto ambao umewaangaza majizi na mafisadi...

Nasasa tusubiri kusikia vifo vya watu kwa presha baada ya mkono wa maadili kuwashika majangil wa Taifa hili.
 
Unajifariji! 1.5 trilion Ameiba mchana kweupe moto unakuwakia wewe,usitutie majaribuni.
Fisadi mkuu papa nyangumi,akuna Rais aliewahi kukwiba trilioni, yaani ni kiongozi wa mafisadi.
Magufuli ni mwizi piriod.
 
Watu kama nyie walikuwepo tokea zamani enzi za madikteta akina Mussolini na Adolf hitler yaani chochote atakofanya magu bado kuna wendawazimu watashangilia.
Leo hii magu akisema atauwa watoto wote nchi mzima wenye miaka 2 kuna wajinga bado watampongeza na kumsifia
 
Hivi uzinduzi maana yake nini? Maana huyu jamaa anazindua hadi vitu vinavyoelekea kuchakaa.
 
Bado sijamuelewa kabisa.Mikakati yake kwa miaka mitano Ni Nini?naona busy na ujenzi na kukusanya mapato sio kitu kibaya ila where are we and where are we going as a nation
 
Unajuwa kuna vitu vyakuvibeza ila sio serikali hii kwakweli.
Vile tunawaza vile tunatenda nakufikiri eti kuna siku mambo yatabadilika ndugu yangu nakuapia unapoteza muda.

Zile zama zakula nakuwatupia makombo masikin zimekwisha. Mh Rais Dr Magufuli katuamsha watanzania na sasa watanzania wameshajuwa kwa pamoja wanaweza pasipo tegemea hisan ya mabepari wa chache wa uchumi.

Mh Rais amesha anza kutoatunda la uchum mzur kwa tanzania kwa kuhakikisha kila mtu analipa kodi nakuwa na mapenz mema na taifa lake.

Maandamano yakipumbavu ya Mange yamekuwa aibu kubwa kwake wala sitak kusema neno. Dunia yote imejuwa ukwel kuwa huyu Rais anapendwa kila mahali tumeona vile imekuwa aibu kwa mange nadhani inatosha sasa watu wamejuwa ukweli.
Sisi tunauwona moto moto usio zimika ndani ya watanzania baada ya mkuu wataifa kuwasha huu moto ambao umewaangaza majizi na mafisadi...

Nasasa tusubiri kusikia vifo vya watu kwa presha baada ya mkono wa maadili kuwashika majangil wa Taifa hili.

Ukiwa unaandia ngonjera zako usitujumlishe Watanzania wote. Semea nafsi yako. Au hujiamini?
 
Uko sahihi. Hakika makabaila wanahaha kila upande. Chadema Na mange wapo wameshindwa kabisa kurejesha wizi Na kutokuwajibika ktk nchi yetu. Hakika tunawapa za USO tu.
 
"PIRIODI" ya mwisho wa mwezi ya jinsia ya wale wenzetu au?
Hivi unaijua vita ya Uchumi wewe!. Bahati nzuri Mzee MAGUFULI anajua nini kinachoendelea. Watu wanatumika na mabwanyenye kwa kuichafua serikali hii lkn wananchi wenye kuipenda nchi hii na hasa wanyonge tuko pamoja naye. Waulize wakulima wa pamba, korosho, wachimbaji wadogo machinga wa Mwanza nk. Hizi mbwembwe zenu zimo humu JF tu
Mawakala wa ukoloni
 
Back
Top Bottom