Mkuu ninaishi KWA oxygenNimeahindwa kulimalizia hili andiko baada ya kuona mwandiko wa polepole humu ndani.
Hivi mtu kama wewe una damu kabisa na unaishi kwa oxygen kama sisi au ni robot?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ninaishi KWA oxygenNimeahindwa kulimalizia hili andiko baada ya kuona mwandiko wa polepole humu ndani.
Hivi mtu kama wewe una damu kabisa na unaishi kwa oxygen kama sisi au ni robot?
Imekufikia mkuu ingia bank tayari.Tunataka hela yetu 1.5 trillion
Ngoja na Mimi niungane na wewe hapa pembeni nisikilizie!Ngoja waje nimewahi seat ya mbele
Nani anayo mkuuTunataka hela yetu 1.5 trillion
Kiufupi sana Mhe Magufuli ni mwafrika wa kipekee mwenye madaraka ya urais anaye waza tofauti sana na marais n.a. raia wengi wa Africa.
Mtu huyu anaenda kuweka rekodi ya kipekee kabisaa ktk mambo yafuatayo:-
1. Kuitoa TZ daraja la chini kwenda la kati kiuchumi KWA ujenzi wa viwanda na biashara zenye uwazi n.a. manufaa KWA taifa pasipo unyonyaji KWA wazawa. Hii itaongeza ajira nchini miaka michache ijayo.
2. Kuweka nidhamu ya kazi na kuongeza ufanisi ktk utumishi wa umma.
3. Kujenga n.a. kuboresha miundombinu mikubwa ya usafiri n.a. uzalishaji umeme nchini.
4. Kuboresha huduma za afya, elimu n.a. maji nchini.
5. Kupunguza matumizi yasiyo n.a. tija serikalini na kuokoa fedha za walipa kodi KWA ujenzi wa taifa
6. Kutimiza ndoto ya kuhamisha makao makuu ya serikali kuwa dodoma.
Kwa haya machache mhe rais wetu amejitofautisha sana na viongozi wengine afrika
Mungu mbariki sana rais wetu mpendwa mpe afya na maisha marefu.
Hata Yesu wa Nazareth alipingwa na baadaye kuuwawa sembuse wewe.
Piga kazi mkuu wabaya mwisho wao huwa ni kuambulia aibu.
Hayo ni malengo yake ambayo hajayatimiza na vigumu kuyatimiza hata baba wa taifa JKNyerere alikuwa na fikra pana zenye maslahi na Taifa sana tena sanaaa. Alitaifisha Viwanda,Mabenki,Majumba,Mashamba,Mashule na kila kitu chenye uchumi wa juu alitaifisha na kutukabidhi zikawa ni mali zetu ila mwishowe nch ikatushindaaa chaliii nyan'ganyang'a ndembemdembeee taabaaaani tukajipiga kipigo cha mbwa kokooo. Hata JPM anajitahidi lakini kama tulivyo rushwa imetujaa vichwani ulafo wa mali na ufisadi na uzembe uliokitihri hatafikaKiufupi sana Mhe Magufuli ni mwafrika wa kipekee mwenye madaraka ya urais anaye waza tofauti sana na marais n.a. raia wengi wa Africa.
Mtu huyu anaenda kuweka rekodi ya kipekee kabisaa ktk mambo yafuatayo:-
1. Kuitoa TZ daraja la chini kwenda la kati kiuchumi KWA ujenzi wa viwanda na biashara zenye uwazi n.a. manufaa KWA taifa pasipo unyonyaji KWA wazawa. Hii itaongeza ajira nchini miaka michache ijayo.
2. Kuweka nidhamu ya kazi na kuongeza ufanisi ktk utumishi wa umma.
3. Kujenga n.a. kuboresha miundombinu mikubwa ya usafiri n.a. uzalishaji umeme nchini.
4. Kuboresha huduma za afya, elimu n.a. maji nchini.
5. Kupunguza matumizi yasiyo n.a. tija serikalini na kuokoa fedha za walipa kodi KWA ujenzi wa taifa
6. Kutimiza ndoto ya kuhamisha makao makuu ya serikali kuwa dodoma.
Kwa haya machache mhe rais wetu amejitofautisha sana na viongozi wengine afrika
Mungu mbariki sana rais wetu mpendwa mpe afya na maisha marefu.
Hata Yesu wa Nazareth alipingwa na baadaye kuuwawa sembuse wewe.
Piga kazi mkuu wabaya mwisho wao huwa ni kuambulia aibu.
Uko sahihi!!!Kiufupi sana Mhe Magufuli ni mwafrika wa kipekee mwenye madaraka ya urais anaye waza tofauti sana na marais n.a. raia wengi wa Africa.