mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Sogezeni makalio yenu mtajua kilichomtoa kanga manyoya!Who will fight? you policemen? [HASHTAG]#jingakabisa[/HASHTAG]
Kibaya chajitembeza.
Hatununui ng'ooooòoooooo.
Mkafie huko huko lumumba.
KabisaaaaaLa kuvunda Mkuu halinaga ubani
Wewe hayo makalio yenu tutayachanja na nyembe! coz hamufahamu hata freedom fighting. We are fighting for our basic freedoms, unamtisha nani tumbiri wewe?[HASHTAG]#jingakabisa[/HASHTAG]Sogezeni makalio yenu mtajua kilichomtoa kanga manyoya!
Kwenye mgao wa 1.5tr+, we unapambania buku 7 tu?Majungu,uzushi,porojo na takataka kibao. Aibu walionayo sasa wamegeuza gia maisha yako hatarini kutuondoa kwenye uzushi kutupeleka kwenye hofu ya movie. Kila movie mtatoa lakini mwamba anapiga kazi. Upigaji dili haurudi kamwe. Kuleni mapesa ya wakoloni mamboleo tuko imara kumlinda
Kapime mkojo hauko sawa. Lowassa wapi tena? Hata huko aliko ni mashaka tuHata uchaguzi ukirudiwa leo nitampigia tena lowassa
Kaulize alizolipwa mwenye chama kwanza hizi tayari maelezo tunangoja huko na mkimjaribu mwenye chama yatakukumba ya kina Chacha Wangwe.Unasema Upigaji dili haurudi kamwe, Bilioni 1500 zipo wapi? Hata kama wamechukua CHADEMA sema tu... Maana ndo zenu
Romani almost RomanyumbuNgoshanyi, almost like [HASHTAG]#NGOSHANYANI[/HASHTAG]
Majibu tayari ila alizolipwa mwenye chama mabilion hatujapata ripoti na ajaribu mtu kuhoji kama hayajamkuta ya Chacha WangweUnasema Upigaji dili haurudi kamwe, Bilioni 1500 zipo wapi? Hata kama wamechukua CHADEMA sema tu... Maana ndo zenu
Hata mimi naunga mkono hoja. Ila tu namwomba Rais wetu chonde chonde asiingie dili yeyote na wakenya. Wakenya wanabebwa na nchi za kibepari ambao hawataki kuona nchi kama Tanzania ina endelea. Nchi hizo zikiwa Ujerumani, Ubelgiji, Uholanzi, Ufaransa na Amerika.Magufuli kanyaga twende!
Pamoja Ila mjitahidi kuwapa elimu ndugu zenuSio wrote ndugu.
Magufuli kanyaga twende!
Tutafika tuu!! Hata kwa mijeledi.Magufuli kanyaga twende!
Ni sawa,maoni yako ni oni la mtu mmoja tu kati ya watu milioni 60 kwenye hii Jamhuri!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]