Hiyo namba (1) hebu mtuweke list ya viwanda basi tuvijue ....au ndy mafundi cherehani nao inahesabika viwanda,We mashine za kutengeneza juisi za miwa nayo viwanda,wenye blenda majumbani nazo viwanda hebu tuwekeni Sawa Kuhusu Hizo viwanda wana lumumbaaa
Ova
Ni kweli ataweka record ya kuwa dictator wa kwanza Tz
Baadhi ya mambo yanakwamishwa na mbwa koko lakini tutashindaHayo ni malengo yake ambayo hajayatimiza na vigumu kuyatimiza hata baba wa taifa JKNyerere alikuwa na fikra pana zenye maslahi na Taifa sana tena sanaaa. Alitaifisha Viwanda,Mabenki,Majumba,Mashamba,Mashule na kila kitu chenye uchumi wa juu alitaifisha na kutukabidhi zikawa ni mali zetu ila mwishowe nch ikatushindaaa chaliii nyan'ganyang'a ndembemdembeee taabaaaani tukajipiga kipigo cha mbwa kokooo. Hata JPM anajitahidi lakini kama tulivyo rushwa imetujaa vichwani ulafo wa mali na ufisadi na uzembe uliokitihri hatafika
Uko sahihi!!!
Atakumbukwa kwa kujenga miundombinu muhimu kama Wakoloni waliomtangulia, yaani Wajerumani na Waingereza. Wakoloni hao walijenga RELI toka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Mwanza, Tanga, Arusha mpaka Voi, nchini Kenya.
Wakoloni walijenga RELI toka Mtwara mpaka Nachingwea.
Lakini Wakoloni hao hao walitunyima UHURU wa kuamua mambo yetu wenyewe!!!!
Pamoja na yote waliyofanya, tuliona kuwa bora tuwe masikini lakini TUKIWA HURU!!
Wapinga UKOLONI, akiwemo BABA WA TAIFA, walikamatwa na POLISI na kupelekwa mahakamani.
Baba wa Taifa na wenzake walinyanyaswa sana lakini hatimaye tukapata UHURU.
Hakika, Rais Magufuli anao uhuru wa kuamua jinsi anavyotaka Watanzania wamkumbuke!
Kwa mwenendo wake wa sasa, tutamkumbuka kwa kujenga Reli ya Kisasa, SGR, kwa kujenga Stiglers Godge, kwa kujenga fly-overs, kwa kujenga makao makuu.
TUTAMKUMBUKA KAMA TUNAVYOWAKUMBUKA WAKOLONI WALIOTUJENGEA RELI NA MELI YA MV LIEMBA!!!!!!!
Kwani wewe hukoje bro!Ulivyoandika na ulichokiandika kinatafsri ulivyo
Dictator ni dictator tu,hata mmupake mafuta ya alizetidictator ni Mbowe hataki kumwachia nafasi Lissu!
1.5 Trilion.Rekodi IPI
listi ya viwanda ni kubwa kwa hapa haitatosha, maaana ww ukiwa na printer moja na computer nyingi kiwanda. ukiwa na jiko la kuchomea chipsi ni kiwanda, mama ntilie ni kiwanda na hata kinyozi ni kiwandaHiyo namba (1) hebu mtuweke list ya viwanda basi tuvijue ....au ndy mafundi cherehani nao inahesabika viwanda,We mashine za kutengeneza juisi za miwa nayo viwanda,wenye blenda majumbani nazo viwanda hebu tuwekeni Sawa Kuhusu Hizo viwanda wana lumumbaaa
Ova
Uzuri machadema mengi sasa yanamkumbuka mkoloni na kusema afadhali wakati wa mkoloni.....TUTAMKUMBUKA KAMA TUNAVYOWAKUMBUKA WAKOLONI WALIOTUJENGEA RELI NA MELI YA MV LIEMBA!!!!!!!
Mkuu basi tuko vzuri kwa viwanda....naona mpk sahv dunia tunaongoza kwa viwandalisti ya vi
listi ya viwanda ni kubwa kwa hapa haitatosha, maaana ww ukiwa na printer moja na computer nyingi kiwanda. ukiwa na jiko la kuchomea chipsi ni kiwanda, mama ntilie ni kiwanda na hata kinyozi ni kiwanda,marekani,jpan ujerumani etc wote hawatuwezi pongezi nyingi zimuende uncle magu aise
utaorordhesha wangapi
kwa kweli Magufuli ni Rais ataewacha historia hilo halina ubishi ila sijui historia itakua in positive or negative? time will tell
Kiufupi sana Mhe Magufuli ni mwafrika wa kipekee mwenye madaraka ya urais anaye waza tofauti sana na marais n.a. raia wengi wa Africa.
Mtu huyu anaenda kuweka rekodi ya kipekee kabisaa ktk mambo yafuatayo:-
1. Kuitoa TZ daraja la chini kwenda la kati kiuchumi KWA ujenzi wa viwanda na biashara zenye uwazi n.a. manufaa KWA taifa pasipo unyonyaji KWA wazawa. Hii itaongeza ajira nchini miaka michache ijayo.
2. Kuweka nidhamu ya kazi na kuongeza ufanisi ktk utumishi wa umma.
3. Kujenga n.a. kuboresha miundombinu mikubwa ya usafiri n.a. uzalishaji umeme nchini.
4. Kuboresha huduma za afya, elimu n.a. maji nchini.
5. Kupunguza matumizi yasiyo n.a. tija serikalini na kuokoa fedha za walipa kodi KWA ujenzi wa taifa
6. Kutimiza ndoto ya kuhamisha makao makuu ya serikali kuwa dodoma.
Kwa haya machache mhe rais wetu amejitofautisha sana na viongozi wengine afrika
Mungu mbariki sana rais wetu mpendwa mpe afya na maisha marefu.
Hata Yesu wa Nazareth alipingwa na baadaye kuuwawa sembuse wewe.
Piga kazi mkuu wabaya mwisho wao huwa ni kuambulia aibu.