Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kumbe Kumsifia mh. Rais ni sehemu ya kazi za msigwaTangu Uhuru Tulikua Na Hospitali Za Wilaya 77.
Kwa Miaka 2 Na Nusu Ya Rais Dkt Magufuli Ametoa Tsh Bilioni 105 Kwajili Ya Hospitali Za Wilaya 67 Zinajengwa.
Kati Ya Vituo Vya Afya 517,Vituo 115 tu Ndio Vilikua Vinatoa Huduma Za Upasuaji.
Kwa Miaka 2 Na Nusu Ya Dkt Magufuli Vituo Vya Afya 208 Vinawezeshwa Kufanya Upasuaji.
Hongera Sana Kwa Serikali Ya Serikali Ya Awamu Ya Tano.View attachment 763325View attachment 763326
We ulifikiri elimu ingegharimiwa kiasi gani?Wadau
Serikali ya JPM imethibitisha ubora wake kwa kutoa Tshs Bilioni 23 kila mwezi Kugharamia Elimu Bure kwa Watanzania nchi nzima.
Hiyo ni sehemu tu ya mambo mengi makubwa na mazuri yanayofanywa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Mzalendo nambari moja na Kiboko ya Mafisadi
Viva JPM
Viva CCM
Yapo ndotoni...Maajabu hayo ya hapahapa Tanzania au. Kwa mbinguni
Kiongozi wetu wa malaikaNgoja na mimi nijitahidi kureply kilumumba,niupate u-DC.
Kweli haya ni maajabu,hongera sana rais wetu,wewe ni mkombozi wetu tangu kuumbwa kwa Tanzania. Unatenda maajabu nami siwezi kueleza,ni nani kama wewe rais wetu?ni nani? Tumepata jembe,tunakuunga mkono!
Huo ndo ukweli,wajinga ndio mtaji wao.Elimu bure huku Walimu wanakufa njaa, ni upuuzi. Nilichogundua Serikali ya CCM inafanya mambo ambayo inajua hayawezi kufanya Elimu yetu iwe bora ili ujinga uendelee maana ni mtaji wao.
Halafu mjinga kama huyu utakuta anaishi mjini kwa kupiga mizinga tu.Wadau
Serikali ya JPM imethibitisha ubora wake kwa kutoa Tshs Bilioni 23 kila mwezi Kugharamia Elimu Bure kwa Watanzania nchi nzima.
Hiyo ni sehemu tu ya mambo mengi makubwa na mazuri yanayofanywa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Mzalendo nambari moja na Kiboko ya Mafisadi
Viva JPM
Viva CCM
Hivi 1.5 Trillioni ukiigawanya kwa tu23B inatosha kutoa elimu bure miaka mingapi??? nauliza tuNgoja na mimi nijitahidi kureply kilumumba,niupate u-DC.