Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwasababu Hatutaki kusoma na kutafuta taarifa basi taarifa yoyote lazima tutaishangilia Sana aiseee, trust me.
 
Tangu Uhuru Tulikua Na Hospitali Za Wilaya 77.
Kwa Miaka 2 Na Nusu Ya Rais Dkt Magufuli Ametoa Tsh Bilioni 105 Kwajili Ya Hospitali Za Wilaya 67 Zinajengwa.
Kati Ya Vituo Vya Afya 517,Vituo 115 tu Ndio Vilikua Vinatoa Huduma Za Upasuaji.
Kwa Miaka 2 Na Nusu Ya Dkt Magufuli Vituo Vya Afya 208 Vinawezeshwa Kufanya Upasuaji.
Hongera Sana Kwa Serikali Ya Serikali Ya Awamu Ya Tano.View attachment 763325View attachment 763326
Kumbe Kumsifia mh. Rais ni sehemu ya kazi za msigwa
 
Wadau
Serikali ya JPM imethibitisha ubora wake kwa kutoa Tshs Bilioni 23 kila mwezi Kugharamia Elimu Bure kwa Watanzania nchi nzima.
Hiyo ni sehemu tu ya mambo mengi makubwa na mazuri yanayofanywa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Mzalendo nambari moja na Kiboko ya Mafisadi
Viva JPM
Viva CCM
We ulifikiri elimu ingegharimiwa kiasi gani?
Acha kujipigia debe!
 
Elimu bure huku Walimu wanakufa njaa, ni upuuzi. Nilichogundua Serikali ya CCM inafanya mambo ambayo inajua hayawezi kufanya Elimu yetu iwe bora ili ujinga uendelee maana ni mtaji wao.
 
Aliyesema tuna IQ ndogo hajakosea, hapo ulipo au jirani si kuna Walimu? Waulize hio pesa Kama inafika kwa wakati na kama Inatosha. Kwa kukusaidia tu, inafika kwa kuchelewa na ikifika ni WASTANI wa shilingi Mia tano (500) kwa kila Mwanafunzi. Hapo hujataja Mlinzi, Admin cost na mengineyo! Tuendelee kujifariji.
 
Ngoja na mimi nijitahidi kureply kilumumba,niupate u-DC.

Kweli haya ni maajabu,hongera sana rais wetu,wewe ni mkombozi wetu tangu kuumbwa kwa Tanzania. Unatenda maajabu nami siwezi kueleza,ni nani kama wewe rais wetu?ni nani? Tumepata jembe,tunakuunga mkono!
Kiongozi wetu wa malaika
 
Tatizo lenu mnatumia outdated propaganda,lazima uelewe kuwa hiyo 'elimu bure' inagharamiwa na kodi za wananchi so kimsingi sio bure,na sio hisani.Alafu watu huwa hawajisifii kwenye vitu vya wajibu,huwezi ukasimama sehemu ukajisifu kuwa familia yako inakula,inapata malazi na watoto wanakwenda shule,huo ni wajibu wako.utasifiwa ama kujisifia iwapo tu utafanya zaidi,uta over deliver,mfano kama kula wale vyakula bora wakati wote,malazi nayo yawe bora kuliko kawaida,na kwenye elimu vivyohivyo,watoto wawe wanasoma shule bora zaidi,na wanapata elimu bora above avarage ama zaidi.
 
Elimu bure huku Walimu wanakufa njaa, ni upuuzi. Nilichogundua Serikali ya CCM inafanya mambo ambayo inajua hayawezi kufanya Elimu yetu iwe bora ili ujinga uendelee maana ni mtaji wao.
Huo ndo ukweli,wajinga ndio mtaji wao.
 
Wadau
Serikali ya JPM imethibitisha ubora wake kwa kutoa Tshs Bilioni 23 kila mwezi Kugharamia Elimu Bure kwa Watanzania nchi nzima.
Hiyo ni sehemu tu ya mambo mengi makubwa na mazuri yanayofanywa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Mzalendo nambari moja na Kiboko ya Mafisadi
Viva JPM
Viva CCM
Halafu mjinga kama huyu utakuta anaishi mjini kwa kupiga mizinga tu.
 
Mbona ilianza kufanya Maajabu mengi tu, kama Kuokota Vichwa vya Treni Bandarani, kuzuia pesa za Rambimbi, na hata 1.5 Trillion imetoweka kimaajabu kabisa kama ripoti ya CAG ilivyojieleza na hata Rais wetu ni wa Ajabu haijawahi tokea.
 
Ngoja na mimi nijitahidi kureply kilumumba,niupate u-DC.

Kweli haya ni maajabu,hongera sana rais wetu,wewe ni mkombozi wetu tangu kuumbwa kwa Tanzania. Unatenda maajabu nami siwezi kueleza,ni nani kama wewe rais wetu?ni nani? Tumepata jembe,tunakuunga mkono!
Hivi 1.5 Trillioni ukiigawanya kwa tu23B inatosha kutoa elimu bure miaka mingapi??? nauliza tu
 
Back
Top Bottom