Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mkuu ni ni kweli lazima tukubali. Ila 2025 nareserve comments, Mungu atakuwa anatuonea, maana tunatubu kwa ujinga wetu.
 
Source please, kuweka double standard kama ilivyokuwa The Economist
Lumumba watakuja na kila aina ya kiini macho, hako kascreen shot kenye lugha ya malikia kamekuzuzua sana🙂
 
Huyu ndiye Rais tuliyemsubiri kwa miaka mingi kwa sasa yupo na ataendelea kuwepo hadi 2025 panapo uhai. Hupendi kunywa sumu ufe. Endeleeni kutengeneza movie zisizo na mvuto
tumelisubiri jizi hatimaye limekuja na litabaki hadi 2025. Limevunja rekodi katika tasnia ya wizi kwa kuiba matrillion kwa muda mfupi sana akiwa madarakani
 
Ila kugombana na Taasisi za kidini ni kitu hatari sana kwa maisha ya kimwili na ya kiroho pia.
Kuna haja kubwa sana ya kutafuta kuwa na amani na watu wote Kila wakati maana kumfurahisha Kila mtu ni jambo ambalo kamwe haliwezekani
 
Ila wenye akili na upeo hawamuoni kama unavyomouna wewe,sasa jitathimini upo kwenye kundi la wanaolambalamba wanaume wenzao na sifa asizostahili au ni binadamu mwenye kujua uhalisia na mwenye kusimamia misimamo sahihi na wasio na tabia za kujipendekeza kama za kwako.
 
tumelisubiri jizi hatimaye limekuja na litabaki hadi 2025. Limevunja rekodi katika tasnia ya wizi kwa kuiba matrillion kwa muda mfupi sana akiwa madarakani
Mijizi mnayo huko na mlimsimamisha kugombea urais. Hii kauli ya mijizi ndio hulka yenu ya kuchafua na akija huko msafi. Sikuwekei picha kwa leo maana nyumbu hana kumbukumbu. Hata Lowassa mlimuita jizi kuu lakini mnaye huko. Fankuuro
 
Haya yote umelishwa na zito aliyesema usije muamini mwanasiasa.
 
Utanyooka tu hata ukiwa nje ya nchi. Ndugu zako mafisadi huku wananyoshwa pole mkuu!!
Wananyoshwa na fisadi mkuu wa 1.5 trilioni. Alivyo mbinafsi, anataka ale yeye tu, wengine thubutu yao. Enewei, kila zama na kitabu chake, ataondoka tu some day.
 
Mijizi mnayo huko na mlimsimamisha kugombea urais. Hii kauli ya mijizi ndio hulka yenu ya kuchafua na akija huko msafi. Sikuwekei picha kwa leo maana nyumbu hana kumbukumbu. Hata Lowassa mlimuita jizi kuu lakini mnaye huko. Fankuuro
lilafi halina kiasi na alitosheki linaiba hadi rambirambi
 
Huyu ndiye Rais tuliyemsubiri kwa miaka mingi kwa sasa yupo na ataendelea kuwepo hadi 2025 panapo uhai. Hupendi kunywa sumu ufe. Endeleeni kutengeneza movie zisizo na mvuto
Kile kibetriii chake kwenye moyo wake kitaisha charge kabla ya 2020. Iyo 2025 ataiona wapi?
 
Ila kugombana na Taasisi za kidini ni kitu hatari sana kwa maisha ya kimwili na ya kiroho pia.
Kuna haja kubwa sana ya kutafuta kuwa na amani na watu wote Kila wakati maana kumfurahisha Kila mtu ni jambo ambalo kamwe haliwezekani
Believe me, kila kitu lazima kithibitiwe!
Africa inateseka sana kwa ajili ya vitu vingi!
 
Mijizi mnayo huko na mlimsimamisha kugombea urais. Hii kauli ya mijizi ndio hulka yenu ya kuchafua na akija huko msafi. Sikuwekei picha kwa leo maana nyumbu hana kumbukumbu. Hata Lowassa mlimuita jizi kuu lakini mnaye huko. Fankuuro
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…